Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Walemavu linaloshughulikia Haki za Kisheria na Maendeleo ya Jamii na Uchumi (DOLASED) Gidion Kaino (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya kuhimiza watu wenye ulemavu kushiriki katika wito wa dunia wa kuchukua hatua dhidi ya umaskini leo jijini Dar es salaam .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bongo kila kitu press confrence duuuh, ooh nimeibiwa house girl mtu huyo idara ya habari....inshallah tutafika tu bora uzima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...