Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akimnadi mgombea wa ubunge katika jimbo la Karatu kupitia chama hicho, ambaye ni mridhi wake, Mchungaji Israel Natse, wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Bwawani mjini Karatu jana
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Bwawani mjini Karatu leo.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akizungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Daudi Siasi, mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni zake kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Bariadi juzi. Picha na mdau Joseph Senga wa Tanzania Daima.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe alipokuwa akihutubia kwenye mkutano wa kumi katika vijiji mbalimbali ikiwemo kijiji cha Kagunga na Zashe kata ya Kagunga,Mjini Kigoma hivi karibuni.

kina Mama wa kata ya Kagunga mkoani Kigoma wakiimba nyimbo za kumsifu mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini alipokuwa akihutubia katika mkutano wa kampeni.

mmoja wa wazee wa kata ya Kagunga akiongea katika mkutano huo wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazi,Zitto Kabwe.


wanachama na wapenzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kagunga wakiwa wamefurika kwa wingi kumsikiliza mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazi,Zitto Kabwe alipokua akihutubia katika mkutano wa kampeni.
Now this is real and very sincere. CHADEMA all the way!
ReplyDeleteKampeni za kutetea walala hoi hazina makuu.
ReplyDeleteUchaguzi huu ni kati ya (1) udini na chuki (kyadema) na (2) umoja wa kitaifa (CCM). Prediction? Umoja wa kitaifa utashinda kwa sababu si wakristo wote tutanganyika. Hayo kanisani kwetu hapa Arusha sisi waumini wa kkkt tumeshawaeleza wazi viongozo wetu baada ya wachache wao kujaribu kutuyumbisha. J. Kayani. Sekei, Arumeru.
ReplyDeleterais dk slaa makam mbowe waziri mkuu nyepesi kabwe aka zito pamoja tutashinda
ReplyDeleteOnce, jasusi, always jasusi!
ReplyDeleteTujihadhari na majasusi-pandikizwa (imbedded moles)!
Dr. Slaa ni jasusi wa serikali ya CCM tangu zamani! Si yeye alitamka wazi kuwa alikuwa na "dawati" hapo karibu kwa Apson Ikulu wakati, sijui, Pope alipozuru Tz. Kuwa na "desk" bila mafaili na kuyasoma hakuna maana! Anazo siri za serikali!
Marando Mabere ni jasusi wa serikali ya CCM tangu zamani!
Arcado Ntagazwa ni jasusi afisa wa juu wa serikali ya CCM tangu zamani (atakuwa kinara wao)!
Mwenye kutaka kuongeza orodha hii aendelee!
michuzi naona walau leo leo umeanza kuwa balanced. huwa unatuboa sana kila siku unaweka habari za CCM na kufumbia macho wagombea wa CHADEMA wakati posting watu wanatuma.
ReplyDeletePlease onyesha ukomavu ktk nyanja za Habari
Now this is real and very sincere. CHADEMA all the way to hell (kitashindwa)!
ReplyDeleteMATATIZO YA VYAMA VYA SIASA NI YALE YALE, KAMA MBWA WAWILI WALIOKUTA MZOGA, BADALA YA KUULA KWA KUSHIRIKIANA WANAANZA KUUMANA WENYEWE.
ReplyDeleteCHADEMA IMEINGILIWA NA AKINA MARANDO WALIOIMALIZA NCCR MAGEUZI, MAKADA WA CCM WANAOKUJA KUPELEZA ILI KUKIMALIZA.
TUJIFUNZE KUTOKANA NA HISTORIA KWA KUWA TUMEKUWA WACHOVU WA KUFIKIRI. MCHUNGAJI MTIKILA NA SIASA ZA GABACHORI NA TX ZILIMMALIZA, NCCR IKAINGILIWA NA MREMA, MARANDO NK IKAVULIA, TLP IKO ICU.
KWA MTAJI HUU! CCM, JUU,JUU, JUU, ZAIDI! CHADEMA NA DOKITA SILAHA, KABWE, MASHUSHUSHU UCHWARA ZII, ZII, ZIIIIIIII!