

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mr. Pinda, please button your suit while standing up and talking with people. Google " wearing suits protocols" for more information.
ReplyDeletehumbled man, Mr. Sefue. Mchapakazi sana!
ReplyDeleteNashangaa sana hawa wasaidizi wa PM. Hili ni jambo nimeliona mara nyingi kuwa Mzee Pinda akiwa amesimama hafungi vifungo vya Koti sasa anaonekana kama bitozi.
ReplyDeleteUnafungua ukiwa unakaa ili uwe comfortable na ukisimaa unafunga.
Tunaelewa sisi ni watu wa kaunda suti hivyo inabidi tukumbushane.
Wakaribu mnatakiwa unamnong'oneza chapu chapu kwa sikio.....Mama Tuna na wewe vipi kazi yako hiyo??!!
Mzawa
wee hapo juu hujui jet-lagged...huoni alivyo soap soap ...wee unashukaga kwenye ndege hivyo baada ya masaa 16...hebu tuonyeshe picha yako ukiwa umetoka bongo. afazali ya yeye yuko na suit.....Leave him alone...
ReplyDeleteWewe achana na hizo sheria za suti ni utumwa mamboleo kwa taarifa yako hongera Mhe MIZENGO KAYANZA PETER PINDA kula kuku kwa mrija mama Tunu kapendeza sana karibuni USA naona kama kawaida mpo ndani ya INTERCONTINENTAL HOTELI kweli maisha ni matamu ukiwa kiongozi bongo
ReplyDeletekweli uongozi unabadilisha bongo!!! mama tunu wa enzi zile pinda anachaguliwa kuwa kiongozi ni tofauti sana na wasasa, wow wa sasa anajua hata kuvaa sunglasses!!!! kweli ukubwa mzuri wish ningekuwa mrs.kiongozi as well. tesa mama all de best
ReplyDeleteJamani Baba Balozi yuko wapi siku hizi?
ReplyDeleteNashángaa kumbe wanakijiji wengi hawajui suti ivaliwe vipi. HAPO ponda amekwenda na time na hivyo ndivyo inavyotakiwa angalieni fashion magazines acheni kukariri kudadadaddadeki
ReplyDeleteI can just be honest with you, huyu jamaa anajua kuongea akihojiwa kwenye nyanja za kimataifa. I can say kiingereza chake ni kizuri than most Tanzanian Leaders ambao maneno ni ya kutafuta hata hawana direction ya ku-make points...naamini utaendelea na mfumo huo huo Mr. Pinda..mwaga lugha...
ReplyDeleteBalozi Sefue kiongozi kweli kweli, huu ndio mfano tunahitaji bongo. The man is very intelligent, vipi rais Kikwete huyu ndio mtu unayemuhitaji sio hao mafisadi!
ReplyDeleteSefue uuppppppppppppppp!
Kwani huyo google ndiye nani? Mungu?
ReplyDelete