Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mtaifa, Ombeni Sefue (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mwanaidi Maajar (wapili kulia) baada ya kuwasili kwenye wa ndege wa JFK jijini New York Septemba 18,2010 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano waa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Millenia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Balozi wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa , Ombeni Sefue (kushoto) na Balzoi wa Tanzania nchini Marekani Mwanaidi Maajar baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa JFK jijini New York Septemba 18, 2010 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Millenia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mr. Pinda, please button your suit while standing up and talking with people. Google " wearing suits protocols" for more information.

    ReplyDelete
  2. humbled man, Mr. Sefue. Mchapakazi sana!

    ReplyDelete
  3. Nashangaa sana hawa wasaidizi wa PM. Hili ni jambo nimeliona mara nyingi kuwa Mzee Pinda akiwa amesimama hafungi vifungo vya Koti sasa anaonekana kama bitozi.
    Unafungua ukiwa unakaa ili uwe comfortable na ukisimaa unafunga.
    Tunaelewa sisi ni watu wa kaunda suti hivyo inabidi tukumbushane.
    Wakaribu mnatakiwa unamnong'oneza chapu chapu kwa sikio.....Mama Tuna na wewe vipi kazi yako hiyo??!!
    Mzawa

    ReplyDelete
  4. wee hapo juu hujui jet-lagged...huoni alivyo soap soap ...wee unashukaga kwenye ndege hivyo baada ya masaa 16...hebu tuonyeshe picha yako ukiwa umetoka bongo. afazali ya yeye yuko na suit.....Leave him alone...

    ReplyDelete
  5. NKOMO WAMANZASeptember 19, 2010

    Wewe achana na hizo sheria za suti ni utumwa mamboleo kwa taarifa yako hongera Mhe MIZENGO KAYANZA PETER PINDA kula kuku kwa mrija mama Tunu kapendeza sana karibuni USA naona kama kawaida mpo ndani ya INTERCONTINENTAL HOTELI kweli maisha ni matamu ukiwa kiongozi bongo

    ReplyDelete
  6. kweli uongozi unabadilisha bongo!!! mama tunu wa enzi zile pinda anachaguliwa kuwa kiongozi ni tofauti sana na wasasa, wow wa sasa anajua hata kuvaa sunglasses!!!! kweli ukubwa mzuri wish ningekuwa mrs.kiongozi as well. tesa mama all de best

    ReplyDelete
  7. Jamani Baba Balozi yuko wapi siku hizi?

    ReplyDelete
  8. Nashángaa kumbe wanakijiji wengi hawajui suti ivaliwe vipi. HAPO ponda amekwenda na time na hivyo ndivyo inavyotakiwa angalieni fashion magazines acheni kukariri kudadadaddadeki

    ReplyDelete
  9. I can just be honest with you, huyu jamaa anajua kuongea akihojiwa kwenye nyanja za kimataifa. I can say kiingereza chake ni kizuri than most Tanzanian Leaders ambao maneno ni ya kutafuta hata hawana direction ya ku-make points...naamini utaendelea na mfumo huo huo Mr. Pinda..mwaga lugha...

    ReplyDelete
  10. Balozi Sefue kiongozi kweli kweli, huu ndio mfano tunahitaji bongo. The man is very intelligent, vipi rais Kikwete huyu ndio mtu unayemuhitaji sio hao mafisadi!
    Sefue uuppppppppppppppp!

    ReplyDelete
  11. Kwani huyo google ndiye nani? Mungu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...