Home
Unlabelled
yanga yaitungua maji maji 1-0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tutaendelea kweli ebu ona bechi la ufundi walipo kalia !! 2010 bado tuna kalia viti vya soda !! ahhahahhahhahaha ahhahhaahhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteUncle Mithupu nimekustukia ndugu yangu wewe ni Wanajangwani maana kila wiki unatoa habari zao tu utafikiri ndiyo timu pekee Bongo.....
ReplyDeleteUwanja unatia aibu kwa kweli.
ReplyDeleteKwa kweli uwanja unatia aibu maana una mabonde utadhani uko katika kilimo cha viazi. ila nawapongeza wachezaji na benchi la ufundi kwa ushindi wa mechi ya majimaji. maana imezidi kuleta uhai kwenye timu ya wazalendo. sasa pole zao kwa hao waliochukua kichapo na timu iliyopigwa na Yanga. walicheka sana ilipopatikana droo sasa wao wamekula kichapo saaaaaafi!
ReplyDelete