Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa akipiga kura katika kituo cha Gongali kilichopo katika kata ya Qurus wialayani Karatu mkoani Arusha mapema leo asubuhi.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa akipata maelezo kutoka kwa wasimamizi wa kituo cha kupigia kura cha Gongali wilayani Karatu leo.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Wilbroad Slaa akiwa na Mkewe Josephine,wakati wakisalimiana na wanachi wa eneo hilo mara baada ya kumaliza kupiga kura leo asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Dr Slaa akiwa na mkewe? I thought ni wapenzi au wameshafunga ndoa tayari? Hongera

    ReplyDelete
  2. ccm na michu oyeee?

    ReplyDelete
  3. Michuzi tupe Updates za MR TWO.Unaogopa kusema ukweli kuwa kashinda mbeya hahahaha.Nasikia CCM ulimi nje mbeya.

    ReplyDelete
  4. GO PRESIDENT GO, GO OUR HERO GOOOO, TUMECHOKA KUONEWA NA UTAWALA WA KIFISADI NA KITAPELI ULIOJAA UFUJAJI WA RASILIMALI ZETU, TUMECHOKA KUIBIWA MIGODI, TUMECHOKA UTAWALA MBAYA , TUMECHOKA....TUMECHOKA KUTOKUWA NA WALIMU SHULENI, KUTOKUWA NA VIFAA HOSPITALI, TUMECHOKA WAJAWAZITO KUFAAA OHHHH TUMECHOKA NA UMASIKINI ULIOKITHIRIIII WAKATI NCHI NI TAJIRI. MY VOTE WAS FOR YOU...GO SLAAAA GOOOOOOO

    ReplyDelete
  5. tired of the bad leadership of JK, i pray for changes , for our eyes to open.... Peoplessssss POwerrrrrrrrr (kama kawaida ya michuzi atafuta post zangu)

    ReplyDelete
  6. Bwana na Bibi Slaa wamependeza sana tayari kwa kuingia Ikulu

    ReplyDelete
  7. Michuzi mbona unataka kutudanganya, Josephine ni mkewe au kimada ?

    ReplyDelete
  8. Mara mchumba wake, mara mkewe, mbona mnatuchanganya? sasa mama yetu huyu Josephine ni mke au mchumba wake Dk Slaa?

    ReplyDelete
  9. Mzee wa Libeneke mbona kimya na matokeo ya uchaguzi? Au ndio mambo si mambo.

    ReplyDelete
  10. Kwani mke,mchumba au kimada
    we inakuhusu nini?
    No one is Perfect.
    Open your eyes man,nchi ipo pabaya hiyo,
    ndio maana kila siku mnaishia kulalamika tu ,
    mpaka watu wanaua na kesi wanashinda.
    Rushwa imekisiri,ubadilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka.
    Ukweli unaujua lakini bado tu,msilalamike sasa, si tunaenjoy tu freedom na Human rights,
    WAKE UP;STOP FOOLING YOUR SELF!E

    ReplyDelete
  11. NAOMBA NIJUE ILA BENDERA YA CHADEMA ALIYOPEWA KIKWETA NA WANANCHI 15 WALIYOIAMA CHADEMA NA KUINGIA CCM WAKATI WA KAMPENI IKO WAPI MAANA NI MALI YA CHADEMA NA SIO CCM NA KIKWETE HAKUTUMIA BUSARA KUIPOKEA KWANI SI MALI YA CHAMA CHAKE.

    NAPENDA KUWAPA WANANCHI WOTE HONGERA KWA MWAMKO TUNAOUONYESHA KISIASA.

    SLAA, KAMA UKIINGIA IKULU NAOMBA URUDISHE PESA ZA UFISADI KWA WANANCHI NA NYUMBA ZA SERIKALI ZIRUDI KUWA ZA SERIKALI MAANA NI MALI YA WANANCHI WALIPA KODI. ITS VERY WRONG KUUZIANA.

    SOMETIMES I WONDER IF REAL VIONGOZI WETU ARE REAL COMPETENT AND COMPELLABLE TO RUN THE COUNTRY MAANA MAAMUZI MENGINE REAL A REASONABLE PERSON ASINGEFANYA HIVYO.

    NAOMBA VIONGOZI WAELEWE KUWA, NCHI YETU INAKUWA NA UKOLONI UMEPITA MUDA MREFU ILA IN SOME CASES WE ARE BOUND TO IT. TUSIPELEKANE KAMA WATOTO WADOGO, ENZI ZA UJIMA ZILISHAPITA, KWA SASA WATU WENGI AT LEAST WANA ELIMU MPAKA YA A LEVELS.

    MIND YOU GUYS, SISI SIO MBUZI WALIOFUNGWA KAMBANI NA KULA KUTOKANA NA UREFU WA KAMBA. WE MOVE FREELY AND LEARN A LOT THROUGH MEETING A LOT OF CHALLENGES.

    PLEASE GIVE US WHAT WE DESERVE.

    ASANTE.

    Tito

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...