Habari Ndg Michuzi,
Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Syllersaid Mziray, "Super Coach" kwa ajili ya mazishi yake yanayotarajiwa kufanyika kesho kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar.
Taratibu hizi zitaanzia Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Kinondoni Biafra kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Tutashukuru sana.
4.00 – 05.00 Kuwasili Waombolezaji
05.00 – 5.30 Viongozi, Wageni Waalikwa wa CKHT kuchukua nafasi zao.
05.30 – 6.00 Nyimbo za Maombolezo.
06.00 – 07.00 Kuwasili Mwili na Ndugu wa Marehemu.
07.00 – 07.15 Wimbo wa CKHT kupigwa.
07.15 -08.15 Misa/Sala.
08.15 – 08.20 Maelezo ya Wizara ya Michezo, Mwakilishi wa Wizara.
08.20 – 08.25 Maelezo ya TFF, Mwakilishi wa TFF.
08.25 – 08.30 Maelezo ya Simba Sport Club , Mwakilishi wa Simba.
08.30 – 08.25 Wasifu wa Marehemu CKHT .
08.35 – 08.40 Maelezo ya mwisho ya MMC VC.
08.40 – 08.45 Shukrani ya Familia,Mhusika wa Familia,
08.45 – 09.45 Kuaga mwili wa Marehemu.
10.00 – 10.05 Wimbo wa Chuo.
10.05 Kuelekea Makaburini Kinondoni

R.I.P Mr. Mziray.
ReplyDeleteDah Tumepoteza one the best coach in our country...may almighty God rest him in piece.
ReplyDeleteRodrick Mwambene--Mdau wa michezo
R.I.P Ndugu yangu Mziray/ Dekula in Sweden
ReplyDeleteMungu ailaze pema roho ya marehem peponi. tutakukumbuka mziray kama mpenda maendeleo ya michezo uliokuwa muwazi na hukupindisha ukweli. msimamo wako ndio umekujengea heshima katika soka la tanzania.Makocha wazelendo tumuenzi kwa kutokuwa wanafiki kwenye mipango ya maendeleo ya soka letu.
ReplyDeleteMakocha na wanamichezo tumuenzi Mziray kwa kuwa wakweli katika kile tunachoamini na si kumpendezesha mtu kwa maslahi binafsi.
ReplyDeletemungu ailaze roho yake mahali pema peponi.