Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. bado tallwood akina kanumba na ray tunasubusri hahhhhhhhhhhhh ahsante kaka misoup

    ReplyDelete
  2. rescue gani. hao watu wa hollywood wanachotaka ni kutengeneza movie, wawalipe hao miners peanuts na wao wabaki na pesa zote kutoka hiyo movie. gado you are very funny.

    ReplyDelete
  3. Mtoa maoni wa pili, unajuaje kuwa watalipwa peanuts??? Nyinyi ndio mnaohukumu hata kabla ya kujua mtu ana makosa au la. Hata hakuna offer yeyote mpaka sasa toka Hollywood wewe umeshaanza sema hivyo.Hata kama ipo sasa wewe ulitaka mapato yote wapewe wao wakati kuna watu wengi wanaofanikisha movie mpaka kwisha. Kwanza hapo kinachohitajika ni story yao tuu wanapewa ma-acors ku-act na wala sio wao.

    ReplyDelete
  4. It doesn't matter hata wakiwalipa peanuts wataishi good forever kama wakipata a good money management crush course. Huyo mwenye mining co alikua anawapa dola ngapi? Kazi yeye risk hivyo na hardly mtu anatengeneza $12,000 kwa mwaka???

    Let Hollywood rescue them..They deserve it and they are good. Jana walitoka hospital wametumia milango ya nyuma kwenda nyumbani kwao hamna picha za bure wala nini. You need a photo you pay...Waandishi wahabari wameachwa kwenye mataa..

    ReplyDelete
  5. Ni kweli waandishi na waandaji wa filamu walishaanza kuandaa jinsi ya kufaidika na tukio la hao jamaa 33

    Kwa taarifa zaidi soma hapa

    http://www.bbc.co.uk/news/world-latin-america-11550234

    Ignorant

    ReplyDelete
  6. Gado weye ni mutundu sana safi sana.unaona mbali nadhani tutafanya mpango next time ugombee ub..u..nge! nakumbuka sana ile katuni yako mijanaume imemtaiti kimwana/ mutoto.Hafu moja anamwambia nadhani bosi eti...go in! we hatariii!!! ile.Mwambie mithupu alete ile scene.

    ReplyDelete
  7. Hawa wachimba migodi wana bahati kubwa kuweza kuchomoka kwenye mtego wa kifo,hii ni kutokana na uongozi thabiti wa nchi yao na pia sapoti kutoka pande zote za dunia,pongezi pia apewe raisi wao ambae alishuhudia tangu mtu wa kwanza hadi wa mwisho wakitolewa !!
    pia waziri wao anayehusika na mambo ya madini ndiye alikuwa kwenye eneo kwa siku zote hizo !!je?na sisi bongo tuna viongozi wa namna hiyo??au ni ufisadi tu??watu wamezikwa sana mererani,geita nk.pia mv bukoba viongozi walitoa mchango gani???watu hawa ingekuwa bongo tungekwisha wasahau !!mungu ibariki tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...