Ndugu Issa Michuzi,
Tumesoma katika blog yako malalamiko yaliyotolewa na mtu aliyejitambulisha kwa jina la MwanaCCM dhidi ya CCM Tawi la Marekani.
Sisi kama tawi, tunaheshimu uhuru wa kujieleza na kutoa maoni kwa kila mwanachama lakini kwa kusisitiza zaidi kufuata taratibu ambazo chama imejiwekea.
Si nia yangu kutaka kulumbana na mtoa hoja bali alikuwa na nafasi ya kutosha kwake yeye ya kuwasiliana na uongozi kwani anaonesha anajua vizuri uwepo wa viongozi na hata contacts zao.
Katika email hii ambayo ninakutumia utaona pia ametutumia waraka huo ikiwa ni uthibitisho kuwa anafahamu uwepo wa viongozi na contacts zao.
Kwa vile suala hili ni nyeti, tumeamua kuchukua hatua kadhaa ikiwemo ya kufanya uchunguzi wa kina wa email hiyo ili kubaini uhalali wa mtoa malalamiko. Tawi limeamua kuchukua uamuzi huu kutokana na mtoa malalamiko kutotumia jina halisi na pia kutofuata utaratibu wa kutoa malalamiko yake.
Ombi letu sisi CCM Tawi la Marekani tunaomba wakati mwingine kabla ya kurusha waraka kama huu ambao hauna jina halisi uwasiliane na uongozi ili tuweze kukupatia majibu/maelezo ambayo yatawezesha ku-balance story na kuwapa mwanga wa kutosha wasomaji wako. Lakini jinsi ambavyo huu waraka ulivyotolewa umetunyima haki sisi ya kujieleza at the first sight.
Kipindi hiki ni cha uchaguzi mkuu ambapo propaganda ni sehemu za kampeni, tuna wasiwasi huenda kuna mpango mchafu wa kukipaka chama chetu cha CCM matope kwa faida za kisiasa za wapinzani wetu. MwanaCCM makini, mkweli na shupavu huwa hajifichi wakati wa kutoa maoni yake na hufuata utaratibu uliopo ndani ya chama.
Tutashukuru kwa ushirikiano wako.
Isaac Kitogo
Mwenyekiti wa kamati ya muda ya CCM tawi la Marekani.
Tumesoma katika blog yako malalamiko yaliyotolewa na mtu aliyejitambulisha kwa jina la MwanaCCM dhidi ya CCM Tawi la Marekani.
Sisi kama tawi, tunaheshimu uhuru wa kujieleza na kutoa maoni kwa kila mwanachama lakini kwa kusisitiza zaidi kufuata taratibu ambazo chama imejiwekea.
Si nia yangu kutaka kulumbana na mtoa hoja bali alikuwa na nafasi ya kutosha kwake yeye ya kuwasiliana na uongozi kwani anaonesha anajua vizuri uwepo wa viongozi na hata contacts zao.
Katika email hii ambayo ninakutumia utaona pia ametutumia waraka huo ikiwa ni uthibitisho kuwa anafahamu uwepo wa viongozi na contacts zao.
Kwa vile suala hili ni nyeti, tumeamua kuchukua hatua kadhaa ikiwemo ya kufanya uchunguzi wa kina wa email hiyo ili kubaini uhalali wa mtoa malalamiko. Tawi limeamua kuchukua uamuzi huu kutokana na mtoa malalamiko kutotumia jina halisi na pia kutofuata utaratibu wa kutoa malalamiko yake.
Ombi letu sisi CCM Tawi la Marekani tunaomba wakati mwingine kabla ya kurusha waraka kama huu ambao hauna jina halisi uwasiliane na uongozi ili tuweze kukupatia majibu/maelezo ambayo yatawezesha ku-balance story na kuwapa mwanga wa kutosha wasomaji wako. Lakini jinsi ambavyo huu waraka ulivyotolewa umetunyima haki sisi ya kujieleza at the first sight.
Kipindi hiki ni cha uchaguzi mkuu ambapo propaganda ni sehemu za kampeni, tuna wasiwasi huenda kuna mpango mchafu wa kukipaka chama chetu cha CCM matope kwa faida za kisiasa za wapinzani wetu. MwanaCCM makini, mkweli na shupavu huwa hajifichi wakati wa kutoa maoni yake na hufuata utaratibu uliopo ndani ya chama.
Tutashukuru kwa ushirikiano wako.
Isaac Kitogo
Mwenyekiti wa kamati ya muda ya CCM tawi la Marekani.


Wewe unayejiita Isaac acha uzushi wakijinga na upumbavu. Hilotawi lako la ccm linaloitwa tawi la marekani liko wapi mbona mnatengeza story. Marekani inamajimbo 50 leo hii unatumbia tawi la marekani unataka sisi tuelewe nini? Au mnajitafutia hoja za kijinga tu ilimradi watu waongee? Au mama aliehamishiwa huku ameambiwa aje afungue matawi huku na imeshindikana sasa mnatengeneza story? Get a life dud!!
ReplyDeleteNdugu yangu Issac hakuna haja ya kwenda mbali kote huko na KULUMBANA ni kiasi cha kuomba Radhi na kutumia Busara kujibu hoja ya mtoa Maoni Moto hauzimi Moto bali MAJI huzima mato lengo ni kuwa na Tawi la CCM, Marekani
ReplyDeletebali tawi bado ni changa na hawa viongozi ni wa muda, muda utakapofikia tutakuwa na Tawi KAMILI kwa maelezo mafupi jibu lingetosha, lakini kutokana na maelezo yako SIKULAUMU( kwani wote sisi tuna MAPUNGUFU).
Nipo GA sijawahi kusikia hiyo ccm huku.Not even in New York kuliko na watanzania wengi pia, Kwa kifupi ni ccm ktk state yenu tu sio CCM Marekani. Fanyeni kudeal na mji wenu huo na others states tukiitaka ccm tutajikusanya tufungue tawi wenyewe kama walivyofanya uk, as for now, am sure ccm mnaijua nyie huko houston tu! You CAN'T handle all states at the same time box kwa ajili ya kulipia bili zenu!!!
ReplyDeleteIsack kajipange kaka maana hujaeleweka kabisaa!!..Na hiyo paragraph ya mwisho ndo imenifanya nisome ya maelezo yako kwa mara ya pili.Hujiamini na Umesema huenda ni mpango wa wapinzani wakati yule mtu aliyetoa alikuwa wa CCM.Iwaje uanze kufikiri ni wapinzani na kwamba wanataka watie chama tawala matope? na kama kweli hicho chama na tawi linaexist huko kwanini usitoe jina la sehemu ambayo mnafanyia mikutano na contact hapa ili hata wengine wanaokaa huko wafaidike.Naona nawe pia uwe mkweli na utupe full information na sio kujisafisha tuu halafu ndo imetoka..dah!
ReplyDeleteSasa unamtishia nani na wewe. Haya basi fanya unalo fanya.
ReplyDeleteKwahiyo ukimshika what are you going to do? Hebu acha ujinga wa kitoto hapa. Au huna kazi ya box, ungekuwa nayo huu ukweli usingekuuma hivyo.
ReplyDeleteIssac kama kweli hilo ni jina lako au la, mbona unaongea kwa hasira sana. MWANACCM aliuliza swali tuu, nimesoma mada yake na yako na sioni kosa lolote alilofanya huyu mtu. Ila wewe inaelekea kama kuna vitu unataka kuficha kabisa kwasababu hizi.
ReplyDelete1. UNGEJIBU TUU KWAMBA CCM MAREKANI IPO IMEANZA MUDA HUU NA VIONGOZI WAKE NI HAWA.
2. UNGEMPAK CONTACT ZAKO HUYU MTU ILI AWEZE JUA KUHUSU HICHO CHAMA CHENU.
3.KAMA KWELI WEWE NI KIONGOZI WA MAANA KITU KAMA HIKI USINGE JIBU KWA HASIRA HIVYO.
Halafu inaelekea wewe mwenyewe hujui sheria za hicho chama kwasababu umejisafisha ila hukutoa hilo jibu. Halafu mambo ya kutishiana eti sijui utafanya nini kwanza ni kinyume cha sheria pili inaonesha wewe ulizungumzalo sio kitu cha maana na huna uhakina na jambo unalo fanya.
BY THE WAY HATA HIYO BLOG YENU HAINA MAJINA YA VIONGOZI, NIMECHANGANYIKIWA KUSOMA TUU OHHH SIJUII KIONGOZI KASIMAMISHWA OHHH SIJUII BLAH BLAH.
HAHHAHAHHA jamani mimi natafuta member wengine wa CHADEMA who wants to join me jamani.
ReplyDeleteCHADEMA OYEEE OYEEE
RAIS MTARAJIWA2015 ZITTO KABWE OYEE
KIDUMU CHAMA CHA WASOMI KIDUU MUUU
Aisee kweli ukweli UNAUMAA, yaani wewe Isaac umejikanyanga kanyanga hapo na vitisho vyako visivyo na mkia wa miguuu. Kwanza jambo la kwanza wewe kama nani unatoa vitisho hivyo? Na kwa misingi ipi? Who are you in CCM anyways? Please watu wazima siee usitutishie mambo yako ya kijinga hapa. Yaani swala la maada ya kuuliza swali mtu ndio unaanza kutisha watu. Kabebe box huko.
ReplyDeleteIssa njipange upya urudi tena hapa umechemsha ile mbaya. VITISHO VYA KITOTO HIVYO. Mbona unasikitisha sana na hiyo mikwara yako. Sasa unataka kufanya nini? Wewe hujui kwanza kuanzisha chama cha siasa hapa kwenye hii nchi bila kibali ni kosa. Au wewe ndio tukutafute ili tukureport? Bila shaka utakuwa huna la kusema zaidi ya hapa. USIJE NA NGUVU ZA SODA BWANA, sisi wadau hapa sio wanjinga.
ReplyDeleteMichuzi umebania comment yangu. Kwa nini huwi fair? Narudi tena kama hivi: Nyie watu acheni upumbavu. Mlikuja U.S. kuendesha siasa zenu za Tanzania au mlikuja kusoma na kujiendeleza? Mbona hamjiulizi kwa nini Republicans au Democrats hawana branch pale Dar? Mawazo ya kitoto na hayana msingi. Wekeni details za mahali branch ilipo pamoja na namba zenu za simu ili niwataarifu Idara ya Uhamiaji ya U.S. na Wizara ya Mambo ya Nje ya U.S. halafu tuone kama mtaendelea na huu upumbavu. Grow up and have a life.
ReplyDeleteHII NI AIBU! NANI AMEWAHI KUONA TAWI LA CONSERVATIVE, DEMOCRAT AU CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA CHA NJE HAPA NCHINI?
ReplyDeleteACHENI KUNESHA NJAA ZENU MPAKA UGHAIBUNI!
Eti kiongozi wa CCM Marekani, kabebe box mazeiya kwanza wote hamwezi kupiga kura eti wapinzani na kipindi cha uchaguzi wapi na wapi na mpo kwa Obama
ReplyDeleteTypical ya wana ccm, anataka malalamiko yasiweke hadharani, apelekewe yeye kwanza halafu ambabaishe michuzi na kumlazimisha asiyaweke ukumbini.
ReplyDeleteUtasemaje umenyimwa haki ya kujieleza ilhali michuzi ameweka malalamiko kwanza, kwa sababu ndio yaliomfika mwanzo, na sasa ameweka majibu yako? ulitaka iwe vipi sasa? Sishangai na majibu yako kwani ndivyo mlivyozoea watu wa ccm.
LOOOOOOOOO, NAJISIKIA VIBAYA KIASI FULANI KUSIKIA MAMBO YA CCM HAPA USA. SI KWASABABU NACHUKIA TU CCM, BALI NAONA KAMA WATU WANAFIKIRI WATAIFANYA USA KAMA UK. HAPA, KAMA ALIVOSEMA MDAU WA KWANZA NA WENGINE WOTE NI MAJIMBO 50. HUWEZI KULETA SIASA ZAKO ZA KIPUMBAVU KAMA ZA UK. KUONGELEA MATAWI KAMA VILE WATU WALIENDA NCHI ZA NJE KUENDELEZA SIASA. HIVI MBONA HATUSIKII CCM NCHI ZINGINE? MSITULETEE UPUUZI WA WATANZANIA UK, UJE MAREKANI. WATU WAMEKOSA KAZI, ANAANZA SIASA UGENINI. KAMA HUNA KAZI NCHI ZA WATU, KAUNGANE NA BABAKO FISADI TANZANIA KUENDELEZA CCM, SI HUKU. UTARUDISHWA MKUKU TZ NA UHAMIAJI. KWANZA UNAJUA USA WANAJUA MNAOZUNGUMZIA SIASA HAPA HAMNA KIBALI. MNAWEZA KUWA MAGAIDI. SHAURI ZENU, MNAFIKIRI KWENU HAPA, PAMBAFFFFFF.....
ReplyDeleteungemjibu tu yule mtoa hoja kuwa "Tawi limefunguliwa State flani nchini Marekani.viongozi wa muda ni mimi Aizaki na blah blah.tunaomba wanaCCM wa State zingine kama kuna uwezekano anzisheni matawi ktk state zenu na baadae mungu akijaalia basi tuunde Kamati Kuu ya CCM nchini Marekani"
ReplyDeletei think that would have been simple and helpful to both sides(kwako na muulizaji).lakini umekuja kwa jazba mno na kuharibu kila kitu.
Pole anyways.
Unajua nimengundua kitu kimoja cha muhimu sana hapa maishani, NJAA NJAA narudia tena NJAA NJAA ni kitu kibaya sana jamani. Haya yangu hayo tuu na mimi nisije tishiwa na ISSA "MKUU WA CCM MAREKANI" kwikwikwikwi
ReplyDeleteHouston mnachekesha sana!
ReplyDeleteKisa gani cha kuanzisha tawi lenu then mliite tawi la CCM Marekani? Kuna 50 states hapa US na kila state ina sheria zake, watu wake na mabo yake kuanzia kwa wamarekani wenyewe hadi watanzania.
Ni sawa na kuanzisha tawi then uliite tawi la CCM Europe, doest it make any sense kweli. Kama mmeanzisha matawi yenu huko yawe ya CCM, CUF ama Chadema basi myaite tawi---Huoston na sio Marekani kwani sio watu wote wenye akili fupi na njaa ya kushabikia siasa za upuuzi.
Tawi hilo majority ya watu hapa US hatuna habari hadi juzi tulipoona hizo habari kwenye michuzi blog.
Tupatieni contacts za tawi, mnafichaficha tuu ama ndio matawi ya bloguni?
Utajiri wote CCM waliokuwa nao basi hata website inawashinda?
Where is the physical address, phone, fax?
Nani ni mwenekiti na wajumbe?
Mlianza wizi wa chips pale Compaq na HP wengi wenu mkaishia jela.
Mkaanza ku-forge cheki mkaishia pabaya.
Mkaanza shoplifting pale Galeria Mall, na kujirusha na mapopo mpaka wamewachoka, sasa deal mmeona ni kuanzisha matawi ya vyama.CCM/Chadema...mmmnnhhh
shule kichwani hamna ni vilaza na ndo maana hamna cha kufanya mnaishia kuanzisha mtawi uchwara ya kwenye blogs.
Kuweni na akili na muache ujinga.
Umeulizwa swali jibu sio kuanza oh sijui mimi oh sijui nimeonewa madai yangu haya kuwekwa kwanza. Sasa hayo madai yako si ungeyaleta kwanza. Naomba usitupotezee muda.
ReplyDeleteAnonymous wa Sat Oct 16, 11:03:00 PM
ReplyDeleteWala hii kitu sio watu wa HOUSTOUN kaka hii ni watu kama hata kumi hivi hawafikii na njaa zao wanataka poteza muda wetu. Hakuna watu HOUSTON wenye muda na hii "CCM HOUSTON" hata kidogo. Sisis huku box tuu mshikaji. Usije toa hata pesa yako kuchangia hii kitu haipoo. HADANGANYWI MTU HAPA.
Issac where are you? Mbona umekimbia jamani au wadau wamekumaliza. Pole next time do a better job KUJIBU SWALI na sio KULETA VITISHO. GOODAY.
ReplyDeleteMtoto ni mtoto hata afurukute vp lazima amwamkie baba yake,na mara nyingi baadhi ya watu hujifunza uimara tu wa mtu na kusahau udhaifu,kikwete yupo juu sana,chakuzingatia fanyeni kazi vijana acheni malumbano na mikakati ya kumkabidhi fisi bucha alinde,mtajuta sana mtakapo mpa slaa kura kwanza ananjaa kali sana.
ReplyDelete