wake wa kampeni katika jimbo ambalo yeye alikuwa mbunge kabla ya kuwa Rais
uwanja wa mkutano wa Chalinze ulifurika hadi pomoni
umati kwenye mkutano wa kampeni mjini Bagamoyo
JK akimnadi Dk. Shukuru Kawambwa, mgombea ubunge wa CCM jimbo la Bagamoyo
JK akimnadi Bw. Hamoud Abuu Juma, mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kibaha vijijini katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mlandizi
JK akisalimiana na Mstahiki Meya wa Ilala Bw. Abuu Juma ambaye mwanae, Hamoud (kulia) anagombea ubunge jimbo la Kibaha vijijini katika mkutano wa kampeni Mlandizi
Ankal akiwa na profesa Samahani Kejeli, muongoza watalii maarufu wa Bagamoyo ambaye alifanya kazi kwa miaka mingi kwenye magofu ya Kaole kabla ya kustaafu




Wazungu wanashangaa jinsi watu wanavyoshabikia wanasiasa licha ya kuwa ndio wanaowakita kwenye lindi la umasikini.
ReplyDeletemichuzi usitie kapuni please kile kiegezo cha elimu kuwa mbunge wa ccm kimeondolewa au? mana nakumbuka bado enzi za kihiyo temeke.
ReplyDeleteAcha tu washangae, maana chama kipo madarakani toka mwaka 60 lamaana wanalofanya ni kurithishana vyeo tu, baba na watoto na wake zao! Ndio wameona chakula kilipo, hakuna lolote wanalowafanyia watanzania halisi kule vijijini. Sasa huyo Meya na mwanae watawasaidia nini watu wa kibaha vijijini na maduka yao kariakoo wamwachie nani??? Watanzania amkeni kura ziende kwa wanaostahili.
ReplyDeleteMICHUZI NI ****** SANA WEWE, CCM ALL OVER......
ReplyDeleteMDAU, READING UK
YAH MAN
ReplyDeleteHAPO USIONE WATU KIBAO NI KWAMBA WATU WOTE HAO KATOKA NAO DAR KABLA ILI MKUTANO WAKE UKAONEKANE KUWA UMEJAA TUSHA MSOMA SANA PEZ DAR NI KWAMBA WALIENDA PALE KUSIKILIZA USHUZI ANAOUTOA JK KWANI FOR REAL KWA SASA HANA JIPYA HAKUNA MTZ ASIYE JUA KUWA JK NI MPUUZI HAJUI UONGOZI MICHUZI USINIBANIE COMMENT YANGU PLZ PUBLISH IT HEWANI KWANI TUNAJUA NEXT PREZDENT WA TZ NI DR. SLAAAAAAAAAAAAAA PAMOJA SANA.
Michuzi nafuu umeweka hiyo comment ya jamaa wa CHADEMA. Huyo anawakiliza wenzake wote na viongozi wao hawana la kuongea ni kutukana tu. Dr. akishinda nakunywa sumu nife kabisa.
ReplyDeleteWEWE ANONYMOUS WA Mon Oct 18, 03:04:00AM,
ReplyDeleteKAMA UNAKUNYWA SUMU LAZIMA UTAKUWA UNAKIMBIA MOTO. KWANI DR SLAA YEYE KASEMA WAZIWAZI KWAMBA AKIFANIKIWA KUINGIA TU IKULU MAFISADI WOTE WALIOIBIWA NCHI FEDHA ZITAWATOKEA PUANI.
BORA UFE TU KAMA WEWE NI FISADI. CHINA MAFISADI HUWA WANANYONGWA.
Kwa kweli 2010 kazi ipo, Michuzi wamekununua kwa sh ngapi mana kila alipo JK nawe upo.. Nihesabie basi nami angalau nivute umeme kijijini kwetu kwenye madini ya dhahabu(Geita)
ReplyDeleteHakuna cha JK wala Slaa, Ni Makaburu tu!
ReplyDeleteMichuzi ni mara mia wewe uwe Amiri Jeshi wa Tanzania, itamake sense
msimponze muhidin bure na wazimu wenu....ccm itaongoza nchi hii mpaka kiyama..teheheehee..kama alivyosema mwalimu 1995 hatoruhusu nchi iongozwe na watu wa ovyo na sisi tunasema hatutoruhusu nchi iongozwe na mcheza kamari ambaye hukana ahadi yake kila anavyojisikia...teheeheheee....mtu kishakana nadhiri aliyomwekea Mungu sembuse nyie binadamu wa-tz.shukuruni CCM ipo ama sivyo jamaa angefunga bao la mkono!..tunachukua na kisha kuweka...waa..!
ReplyDeletehongera sana dady wangu kwa kupata ushindi mwenyezimungu akuzidishie neema na baraka tele my sweet dad hamoud abuu jumaa inshallah kila la kheri its me ur daughter ummy!
ReplyDeletehongera sana dad wangu hamoud abuu jumaa mwenyezimungu akuongezee kila lenye kheri na wewe na akuepushie na kila lenye shari na wewe hongera sana its me ummy!
ReplyDeletehongera dad hamoud abuu jumaa nakutakia kila la kheri na uepukane na kila lenye shari na wewe inshallah mwenyezimungu akufungulie kila lenye mema na wewe hongera sana my sweet dady its me ur daughter from holland!
ReplyDelete