JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kawe Mama Kizigha katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers huko Kawe jijini Dar leo
JK akimnadi Bw. Othman, mgombea udiwani kata ya Kawe leo

JK akihutubia maelfu ya wananchi leo huko Kawe
JK akiongea na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Mh. John Guninita, Mwenyekiti wa kampeni wa CCM Mh Abdulrahman Kinana na wasaidizi wake wengine leo
Msanii Diamond akiburudisha umati huo
Vijana machachari wa Tip Top Connection wakifanya vitu vyao leo Kawe

Wazee wa kazi wa Sikinde Ngoma ya Ukae wakiwa
backstage kusubiri zamu yao kutumbuiza
wananchi wakijipatia viti vya kukalia katika mkutano huo
Nyomi jimboni Kawe leo











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jimbo la Kawe ni la CCM, Mama Kizigha anapeta huyoo!, na huyo Halima Mdee asubiri viti vilivyofungiwa ndani ya boxi siku ya boxing day (baada ya uchaguzi) chadema kitakapofunguwa boxi lao.

    Habari ndio hiyo!

    ReplyDelete
  2. Tehee hee hee. Kuna wakati ilidaiwa kwamba mshindi wa kura za maoni huko Kawe alikuwa Warioba ila Mama Kizigha alichakachua kura. Afadhali imebainika kwamba ilikuwa ni uzushi tu.

    ReplyDelete
  3. Mhhh mambo yanapamba moto bado siku.... na kama waote hao wamejiandikisha na kama tena watampa, basi ikulu JK ameingia ila kipindi kijacho ni zamu ya wapinzani na umoja wa wapinzani ndio ngao ya ushindi la sivyo ikulu wataendelea kupasikia harufu na kulalamika wameibiwa kura. maana mikoa mingi wabunge watapata kutoka vyama vya upinzani lakini kiti cha uraisi wanampa JK!! tena wanasema hadharani!! upinzani mpo!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Huyu Diamond si nilisikia yuko UK, yaani hiyo Tour imeshaisha mara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...