JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kawe Mama Kizigha katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers huko Kawe jijini Dar leo
JK akimnadi Bw. Othman, mgombea udiwani kata ya Kawe leo
JK akihutubia maelfu ya wananchi leo huko Kawe








Jimbo la Kawe ni la CCM, Mama Kizigha anapeta huyoo!, na huyo Halima Mdee asubiri viti vilivyofungiwa ndani ya boxi siku ya boxing day (baada ya uchaguzi) chadema kitakapofunguwa boxi lao.
ReplyDeleteHabari ndio hiyo!
Tehee hee hee. Kuna wakati ilidaiwa kwamba mshindi wa kura za maoni huko Kawe alikuwa Warioba ila Mama Kizigha alichakachua kura. Afadhali imebainika kwamba ilikuwa ni uzushi tu.
ReplyDeleteMhhh mambo yanapamba moto bado siku.... na kama waote hao wamejiandikisha na kama tena watampa, basi ikulu JK ameingia ila kipindi kijacho ni zamu ya wapinzani na umoja wa wapinzani ndio ngao ya ushindi la sivyo ikulu wataendelea kupasikia harufu na kulalamika wameibiwa kura. maana mikoa mingi wabunge watapata kutoka vyama vya upinzani lakini kiti cha uraisi wanampa JK!! tena wanasema hadharani!! upinzani mpo!!!!!!!
ReplyDeleteHuyu Diamond si nilisikia yuko UK, yaani hiyo Tour imeshaisha mara
ReplyDelete