
Kwa katuni za Michezo, Siasa na hadithi, vichekesho na vunja mbavu bila kusahau vidokezo vya magazeti na viungo tofauti kuelekea tovuti na blogu tofauti
Tembea hapo.
http://www.galachakatuni.com
Tembea hapo.
http://www.galachakatuni.com
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Libeneke zuri sana hili. Hongera Galacha kwa kazi nzuri nadesign nzuri ya website hii. Big up friend!
ReplyDeleteAsante ankal kwa libeneke hilo, ila mbona wachoraji wachache? Fanyeni mpango muongeze. Ili tuweze kuja kila siku hapa
ReplyDeleteThis is very GOOD IDEA.
Nimeipenda hii site....ina elimu ya kutosha kupitia katuni...
ReplyDeletehongera sana Galacha katuni na tunashukuru kwa katuni zako na updates za kila siku......
KEEP IT UP :)