Daraja la Vingunguti, kama linavyoonekana kwa sasa. Pindi litakapokamilika litakuwa mkombozi kwa watu waishio Tabata Segerea na Chang'ombe. (Picha na mdau Deo wa blogu ya jamii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hongera wahusika ! litatusaidia wana wa nchi ,ila tu hayo culverts zilizotolewa inapaswa ziondolewe eneo la tukio ili zisiwe kama uchafu ktk eneo hilo na kuweza kuleta madhara kwa watoto wakichezea.
    MZUSHI

    ReplyDelete
  2. hongera wahusika ! litatusaidia wana wa nchi ,ila tu hayo culverts zilizotolewa inapaswa ziondolewe eneo la tukio ili zisiwe kama uchafu ktk eneo hilo na kuweza kuleta madhara kwa watoto wakichezea.
    MZUSHI

    ReplyDelete
  3. amna kitu hapa wizi mtupu msijenge siku zote leo uchaguzi mwajifanya kiliweka mitandaoni, mbona lilivyofumuka na maji hamkuliweka tatizo mmezoea kudanganya watanzania na mmetupata leo twawashangilia mtafikiri wafalme, ila tukumbuke hivi vipande vya nguru manavyotupa nasi twala bila ya kuosha mbona tutakoma

    ReplyDelete
  4. Wageni wa vingunguti watatesa.Kamba hazitakatika.

    ReplyDelete
  5. mambo si ndio hayo kwakweli sisi wakazi wa tabata tunashukuru sana hiyo ni hatua kubwa sana

    ReplyDelete
  6. yaani bado tunajenga vidaraja vya hivi? halleluja !

    ReplyDelete
  7. Na ukiuliza thamani yake utaambiwa ujenzi umekula billioni 5 wizi mtupuuuuuuu.
    mdau UK.

    ReplyDelete
  8. Ok sio mbaya heri nusu mkate kuliko kukosa mkate mzima e bwana.Litasaidia kwa kipindi cha kutosha ikiwa usimamizi na jicho la ulinzi litaelekezwa.Ee si wapo watakaochakachua kupata chuma chakavu ili kwenda kuuza, chonde wasifanye tafadhali! na ole kama hizo culvets zingekuwa za chuma pangekwishakua pasafi hapo.Ok

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...