Ngoma maarufu ya Wangoni ya Lizombe huko Mbinga Mashariki, mkoa wa Ruvuma
Home
Unlabelled
lizombe orijino
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Ngoma maarufu ya Wangoni ya Lizombe huko Mbinga Mashariki, mkoa wa Ruvuma
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
LIZOMBE 5 BONGO FLAVA 0
ReplyDeleteNARUDI NYUMBANI,NARUDI SONGEA KWENDA KUENDELEZA UTAMADUNI WETU!!!!!!!!LIZOMBE,CHIHODA MGANDA(STEP NUMBER ONE)MKO JUU SANA HONGERENI AU VIPI WADAU.NYUMBI HII BOMBI HII TUKO JUU.
Hongera Michuzi kwa kutuletea kazi kama hizo za kiutamaduni. Kwa bahati mbaya utamaduni huu unapotea haraka sanaaaa! Iringa tulikuwa na Kudua, Mangala, Ndusi nk zikichezwa kwa umahiri mkubwa na kuburudisha katika matukio mbalimbali muhimu. Sasa hivi, sijui kama bado zipo. Kusini, nagalau bado wamejitahidi kudumisha tamaduni hizo, ingawa ukiangalia Lizombe la 1986 na la leo, kwa kweli la leo ni Michosho mtupu! Inapaswa kukuza utamaduni huu, na ku 'document' pia kwa ajili ya vizazi vya baadae. Zipo nyingine kama Mganda (Nyasa, Matengo), Kiada nk. Ukipita huko, michuzi tuletee pia, hao akina Marlow tutawaona tu majukwaani Dar!
ReplyDeleteasante san michuzi,umenikumbusha nilipokuwa jkt mgambo Tanga operation okoa 1985/86 nilikuwa mnembo nilicheza sana hii ngoma ya lizombe
ReplyDeleteasante sana michuzi kwa kweli nimefurahi sana leo kuona ngoma hii ya lizombe au kitoto.nimekulia kijijini huko songea na hiyo ndo ilikuwa burudani kbwa enzi hizo kwa kila tukio,harusi,komunyo,kipaimara na kadhalika.wao long time!!!sasa nipo nje na sipati nafasi yakona hiyo.walau nimemwonyesha mwanangu kuwa nimecheza sana ngoma hiyo.
ReplyDeleteSAFI SANA MICHUZI.ASANTE KWA KUNIKUMBUSHA NYUMBANI.
ReplyDeletePOA SANA MICHUZI,UNAJUA NIKO MBALI SANA NA AFRICA LKN NAJISIKIA KINYUMBANI ZAIDI,HIYO MITAA YA MBINGA SI'NDIO ANGA ZANGU?TANZANIA BILA NGOMA ZA ASILI HAIWEZEKANI.
ReplyDeleteHilo kundi linaitwa Talian Lizombe Group, linatoka kijiji cha Mkako. Hilo kundi ni la familia moja ya mzee Talian. Namuona kiongozi wao Shida!! Safi sana, wamenikumbusha enzi zetu Likonde
ReplyDeleteMichuzi, hiyo ngoma ilikuwa kwenye ina-mkampenia nani wa CCM? shukrani lakini japo tumeona ngoma maana tumechoka na vyama
ReplyDelete