Mgomea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Batilda Buriani, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Kata ya Kimandolu Jijini Arusha jana.
Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipongezwa na Bi Nadifa Mohamed Molel (88) ambaye ni mwanachama na shabiki wa chama hicho baada ya kumaliza mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Kata ya Kimandolu mjini Arusha jana.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, DK. Mohamed Gharib Bilala, akizungumza na wananchi wa mpakani mwa mkoa wa Arusha na Moshi wakati akiwa njiani kuetoka Arusha kuelekea Moshi jana.
Wananchi wa Kata ya Kimandolu wakimsikiliza na kumshangilia mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, wakati alipofanya mkutano wa kampeni katika jimbo hilo jana. Picha na Muhidin Sufiani






we kima hakuna mkoa wa Moshi.
ReplyDelete