Tungependa Kuwakaribisha Wote Kushiriki Katika Mdahalo Wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani.


Mdahalo Huu Utawapa Fursa Wapenzi, Wanachama na Wananchi Wote wa Tanzania Kutoa Maoni Yao Kuhusiana na Nani Anaefaa Kuchaguliwa Kwenye Nafasi Mbalimbali za Uongozi Katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010 Kupitia Njia Ya Simu Na Kurushwa Moja Kwa Moja Na Bongo Radio. Tunatoa Wito Kwa Watanzania Wengi Kushiriki Katika Mdah...alo Huu Kwani Utawapa Nafasi Kutoa Dukuduku Au Hata Kuwafumbua Macho Kuhusiana na
Wagombea Mbalimbali.

###################
Mdahalo Huu Utatangazwa Moja kwa Moja (LIVE) Dunia Nzima Kupitia BONGO RADIO ambayo inapatika


na tunaangalia Uwezekano
wa Kuweza Kutangazwa

Na Moja Ya Radio Nyumbani Tanzania.
####################
Muda Wa Kuanza Kwa Mdahalo ni

Saa Tatu Asubuhi kwa Saa za Kati za Marekani
(9am CST) Ambapo Itakuwa Ni Saa Kumi Na Moja Jioni (5pm EAT) Kwa Saa Za
Tanzania. Namba Ya Simu Ya Studio ni +1 312 957 6014 na Unaweza kutumia
Skype Username ni 'Bongo Radio' au 'Geeque' Tafadhali Piga Simu Siku Hiyo
Utoe Maoni, Dukuduku, Mawazo Hadi Mapendekezo.
###################
Sikiliza Mdahalo Kupitia http://www.bongoradio.com/mediaplayer.html kwa
wale wasikilizaji wenye (High Speed) Au
http://www.bongoradio.com/mediaplayerlow.html kwa (Dial Up). Pia Unaweza
Kutusikiliza Kupitia Simu Yako Ya Mkononi Hasa iPhone na Smartphones
Nyingine Kupitia http://bongoradio.com:8000/listen.pls kwa 3G na
http://bongoradio.com:9000/listen.pls kwa slow connection.

Ahsanteni Wote,
Bongo Radio Team.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sikosi lazima niwepo ndani ya nyumba nipo hapa na iPhone yangu nawapata safi kabisa kitu mchicha levo ya CD, big ups sana Bongo Radio.

    ReplyDelete
  2. mimi nitamchagua kikwete na wengine wote wanaomkubali kikwete tupige sana simu siku hiyo ili wale wapambe wa dr. slaa wasisike.

    ReplyDelete
  3. Mdahalo wa rais vipi mzee? Where is Mr. President?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...