Sehemu ya wakaazi wa jiji la Mbeya wakisikiliza mdahalo huoPicha zote na Francis Godwin
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Sehemu ya wakaazi wa jiji la Mbeya wakisikiliza mdahalo huoTanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sumaye: Msichague mafisadi mwaka huu
ReplyDeleteMr II KAMA HAO JAMAA WAMEJIANDIKISHA KUPIGA KURA "WEWE MBUNGE HUNA MPINZANI"
ReplyDeleteNakupongeza sana MrII kuwa msanii wa kwanza wa Tz kuingia katika kugombea Ubunge kwa tiketi ya upinzani hii inaonyesha kwamba si lazima uwe CCM ndio uweze kugombea Ubunge.Nina uhakika MrII atashinda kwa kishindo katika kura za ubunge kwa Mbeya Mjini.
ReplyDeleteKeep it up we are behind you!!!!
Haya Bwana Sugu!!
ReplyDeleteLakini Wanyakyusa hawajui kutamka CHADEMA, wao wanatamka KYA NDIMA, yaani chama cha maharage!!
Bwana Joseph Mbilinyi (Mr II) tuwekee video ya huo mdahalo ili tuone ulichosema.
ReplyDeletePamoja na kwamba nashabikia mageuzi watu wa Mbeya wakimchagua huyu. Nitawashangaa sana.
ReplyDeleteHe is not at his AGE
HICHI KICHWA LAZIMA KIINGIE MJENGONI DODOMA.SIONI WA KUMZUIA HAPO JIMBONI.
ReplyDeleteKila la kheri kaka lakini utamuweza mwalimu wako MPESYA?Maana huo ni mpambano wa mwalimu na mwanafunzi wake wa zamani hapo mbeya secondary school,mwalimu ccm mwanafunzi chadema,hapatoshi mbeya mjini,
ReplyDeleteMr II hata kama hutafanya chochote, tunachotaka ni kubadilisha huu upepo tu maana CCM wanaamini hata wakisimamisha kivuli kitashinda tuu. Nakutakia kila la heri na hii safari ngumu, iyojaa matisho na kila aina ya uzushi. Kajifunze wanachoking'ang'ania hawa wazee wa CCM huko bungeni na wasitusaidi chochote sisi walala hoi. Nchi yetu imeuzwa ati!!!
ReplyDeleteMkereketwa aliyechoshwa na CCM