Ankal habari za kazi.

Mimi ni mdau wa globu ya jamii, nipo Sweden.Naomba msaada kwa yoyote anayejua mtandao au link naweza kupata nyimbo za maombolezi ya Mwalimu Nyerere.

Natanguliza shukrani.

Mdau Sweden

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nyimbo zinapatika makumbusho ya Mwalimu Nyerere. Wasiliana nao. Zinauzwa sio bure. Unafikiri kila kitu kinapatakana bure kwenye internet?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...