Ankal,
mimi naiywa Thomas Lumbilla Mhanga, Kwa sasa nipo Conakry, Guinea, nadhani ni karibu na mwisho wa Afrika Magharibi. Nafanya kazi Umoja wa Afrika (Africa Union Commission) yenye makao makuu yake Addis Ababa.
Nimekuwa mdau wa habari na matukio kwa msaada wa hii blog ya Jamii na nafurajia sana the way unavyotuunganisha Watanzania tunaoishi nchi mbalimbali duniani.

Sasa nakuomba kwa kupitia blog hii niwaulize kama kuna Mtanzania yoyote hapa Conakry, Guinea, tuwasiliane maana nadhani niko pekee yangu tu na inaboa sana.

Mdau wa Conakry, Guinea

tomlumbillah2000@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Binamu, Geoff hapa kutoka Finland. Vipi umehamia Guinea baada ya Ethiopia? Mhh baba, unavuka viwanja. Am sua hapo patakuwa na watanzania kibao tu.

    Wasalaamu na Familia yako. Ni vyema nimefungua hii page kwa maana nisingejua kwamba hupo Guinea kwasasa. Wasiliana nami kwenye Facebook.

    ReplyDelete
  2. Never ever ever say in terms of "I am the only one here" or lead yourself to presume that you are the "only one" (Tanzanian) living in a particular corner of the world.

    Back to Conakry. Nigependa kukufahisha kwamba kuna ndugu wengi wa Kitanzania waoishi jijini Dixinn.

    Kuna wanafunzi kadha hapo katika chuo kikuu cha Conakry ('University of Conakry'). Wengi miongoni mwao hutoka katika chuo cha St. Augustine nchini Tanzania.
    Ndugu fulani fulani wana biashara hapo Ratoma. Mmoja wao ana mukahwa unaojulikana kwa jina la "Chalinze" na mwengine ni kwa jina la "Kilimanjaro".

    Please try and do your homework ("footwork"), walk around, network with East African folks from Rwanda, Somalia, Zanzibar, Kenya and Ethiopia (of course Ethiopia is in Eastern Africa) and Eritrea who have been living in Kakan, Rotama, Dixinn et al for the last several three decades.

    I have several good friends form my old school days at UoC, who still frequent the Conakry Grand Mosque for worship. I will try and link you up with them once I get their contacts and permission.

    "No Man Is An Island" in this day and age. So are Tanzanians wherever they maybe.

    Nova Scotia, Cuba, Purto Rico, Panama, Alaska, Guam, Gibralter, Malta, just to name a few places, you will find Tanzanians living there. But you must seek them out, otherwise it is very hand to run into them.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...