Mwenyekiti wa Travel Start,Stephan Ekbergh (kulia) akiongea leo wakati wa uzinduzi wa mtandao wa uwakala wa kuuza tiketi za ndege (Online Travel Agency) uliofanyika usiku huu katika hotel ya Kilimanjaro Kempiski.Kushoto ni Mkurugenzi wa Travel Start - Tanzania,Mustafa Rajan na katikati ni Meneja mkuu wa Travel Start,Sukaina Abbas.
Mkurugenzi wa Travel Start - Tanzania,Mustafa Rajan (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa wageni waalikwa waliohudhulia uzinduzi wa mtandao wa uwakala wa kuuza tiketi za ndege (Online Travel Agency) ambao ni mara ya kwanza unaanza kufanya kazi hapa nchini.uzinduzi huo umefanyika jioni hii katika hotel ya Kilimanjaro Kempiski.
Wadau wa mashirika ya ndege yaliopo hapa nchini wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi huo.
Wadau wa Fast Track,Abbas Rajan (kulia) na Hasnain Rajan wakifuatilia uzinduzi huo.
Timu ya wauzaji wa tiketi katika mtandao wa uwakala wa kuuza tiketi za ndege (Online Travel Agency).toka kulia ni Sofia Mzena,Anazad Sadia,Hasnain Rajan (pili toka kushoto) pamoja na Sukaina Abbas,wakiwa na Mwenyekiti pamoja na Mkurugenzi wa Travel Start-Tanzania wakati wa utambulisho wao kwa wageni waalikwa.
wageni waalikwa.
wafanyakazi wa Fast Track pamoja na wale wa Travel Start wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo.
Wadau wakipeana mawili matatu.
Watu wengi walihudhuria uzinduzi huo wa mtandao wa uwakala wa kuuza tiketi za ndege (Online Travel Agency) katika hotel ya Kilimanjaro Kempiski jioni ya leo.unaweza tembelea mtandao huo kwa link hiyo hapo chini.
www.travelstart.co.tz


Hayo ndio maendeleo tunayoyataka ktk nchi yetu
ReplyDeleteOfisi hii kila mfanyakazi na wakurugenzi ni very smart.
ReplyDeleteKuna nafasi za kazi huko?
(US Bloffer)