MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA MJENGO WA BIG BROTHER HOUSE AMETOLEWA KATIKA JUMBA HILO AKIWA MTU WA PILI KATI YA WATANO WALIOSALIA KATIKA SIKU YA MWISHO YA MCHEZO HUO ULIOCHUKUA SIKU 90 AMA MIEZI MITATU. HABARI, PICHA NA VIDEO BAADAE KIDOGO...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. big bradha ya mwaka huu imeboa kwa kwelim kwanza hakukuwa na haja ya kuwarudisha evicted housemates kwa mara nyingine....walitafuta njia ya kumrudisha Lerato .........Hata kama Mwisho hajashinda ajue kuwa Tanzanian fans are behind him na amefanya vizuri sana.....

    ReplyDelete
  2. Tanzania fans are behind him kivii wakati hata kura hawakumpa????

    Yaani kura zetu tu watanzania tumempa mtu wa nchi nyingine halafu mnasema eti fans wake mnamuunga mkono.
    Wabongo jamani!!!

    ReplyDelete
  3. jamani wabongo wabaya, mwee hata kumpigia mtz mwenzio kura wamezipeleka zimbabwe kwa mzee jongwe, du balaaa,

    pole mwisho lakini si umepata mke jamani ndicho ulichafata big brother hicho,

    karibu tena bonge yetu nchi yenye amani.

    ReplyDelete
  4. wa Tz why kutokumpigia kura mwisho? yaani kumtoa kapa kweli. inauma sana.

    ReplyDelete
  5. BBA wamechemsha mbaya na kwa ukweli anaesema kura zetu tumempa mtu mwingine sio kweli, wakati umefika watu wajue mshindi hachaguliwi kwa kura bali hupangwa na Biggy mwenyewe, kura ni ulaji tu kwa makampuni ya simu, Mshindi halali ni Munya na ndio maana hadira yote ilikuwa ikipiga kelele kuwa Munya ndio winner, lkn unadhani hilo lingewezekana wakakti mkurugenzi mwenyewe ni Mnigeria? huo ushindi wa kuhurumiwa kufiwa na baba yake na pengine hata hicho kifo wamekifake maana wapopo ni mwisho wa matatizo

    ReplyDelete
  6. hii big bro ilikua na usanii mwingi manake wanaija wamejazana,,la kwanza walitaka kumrudisha tu lerato the last woman standing waz wifi yetu Merly!,, pili wameiba kura za nchi zingine kwakweli,,tatu mimi nakubali mwisho asingeweza kushika nafasi ya kwanza bcoz alipoteza washabiki wengi na mchuano kati ya Uti na Munya ulikua mkubwa sana kiasi manaigeria walikua wanakesha kumpigia kura kwaiyo tukubali tu matokea,,Mwisho is a great humble guy lakini mwisho wa siku sio umechezaje ni umefunga magori mangapi!!

    ReplyDelete
  7. Kuna mtu aliwahi kulalamika siku za nyuma kwamba kuna nchi wamepewa namba moja kupigia kura inaweza kuwa sababu.

    Pili huenda wengi waliona Munya na Uti wana nafasi kubwa ya kushinda, wakati mwingine si vibaya kukubali matokeo na kumchagua yule mwenye nafasi zaidi. Munya was better than Uti.

    ReplyDelete
  8. wabongo tuache kulalama wakati hata Tanzania hawakumpigia kula mwisho sasa angeshindaje wakati uzalendo F..pole mwisho nenda kaishi Namibia walau umeambulia mke kama sio mkwanja!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...