Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtazama Winter Isaac (3) ambaye ni mmoja wa watoto waliolazwa kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtazama Winter Isaac (3) ambaye ni mmoja wa watoto waliolazwa kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo.



WAZIR MKUU INAONYESHA AMEGUSWA SANA NA HUYU POOR GIRL MOLA ATAKUAFU DOGO UISHI NA FURAHA AFYA NJEMA ! INATIA MOYO KUONA ANGALAU VIONGOZI WANAPATA MUDA WA KUWAJULIA WANANCHI WENYE MATATIZO.
ReplyDeleteDr. Mwaisilage kijana wa Basekana naona hali si mbaya!! Kweli hamna mtu mwembaba du!! Salamu toka N.America
ReplyDeleteNi Mimi mpigaji wa Chale Coy,Ruvu JKT
!> Kweli picha ya kwanza inasema yote.
ReplyDelete1. Hivi chance ya kusurvive ugonjwa huu TZ ni ngapi? Inatisha sana nakumbuka nikiwa mdogo tulikua tunapita hiyo njia sana tukitoka kanisani. Mara nyingine tulikua tunasimama na kusalimia na kuwapa machungwa lakini nilikua sijui wanaumwa nini sasa hivi nimekua mkubwa naona uchungu kweli.
2. Katika kipengele hiki cha uchaguzi huyu waziri mkuu naye si mbunge right? Yeye anafanya kampain saa ngapi au nafasi yake ni reserved? Mimi nampenda sana huyu Prime minister..He looks very humble.
Ukweli wangu kutoka rohoni natamani huyu ndio angekua mgombea wa uraisi....
ReplyDeletepole mdada mungu atakuasaidia.
ReplyDeletenduguyangu huyo pinda hatopewa urais kipindi hiki wanamjua kama
nimtendaji kazi hata wapinzani wao.
jamaa kwakweli anastahili sifa sana
japo mwanadamu hakosi mapungufu.
Of course Mizengo Pinda is man. Jitihada zake na uungwana wake unatia moyo sana kwa Taifa kama letu.nakumbuka siku moja nilikuwa namtafuta rafiki yangu ambaye ni dactari baada ya kumkosa nilimtumia sms ili aipate akifungua simu.Aliponijibu aliniambia alikuwa bize na wenzake madkt.kuokoa maisha ya kijana wa pinda na alisema kwamba alikuwa anaendelea vema.Katika hali ya kawaaida jinsi tujuavyo baadhi ya viongozi wetu matibabu kama hayo ni ya kufanyika nje tu.Hata kama imergency charter ingekodiwa upesi sna. Big up Pinda the one of next President candidates.
ReplyDelete