Mh. Zitto Kabwe akiwasili kata ya Runzewe kumnadi
mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Bukombe
Mh. Zitto kabwe akiwa na Profesa Kulikoyela Kahigi
wakati wa mkutano huo wa kampeni

Kundi la utamaduni la kinamama likitoa burudani wakati wa mkutano huo
Profesa Kahigi akimwaga sera
Mh Zitto Kabwe akiongea mkutanoni hapo
Mh. Zitto Kabwe akihutubia
Kwa habari na picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tupicha twa Chadema tudogooooo wala hatuonekani. Za JK kuuubwa mpaka zinaboa.

    Hata link ya kutazama picha zaidi is NOT FOUND.

    Hongera Ankal kwa uandishi wa habari uliobobea.

    ReplyDelete
  2. HUYU ANKAL SI NI M***** NA MTOTO WA MJINI TU SIDHANI HATA KAMA CHUO KAFIKA, ANGEFIKA ASINGEFANYA HIVI ANA ABUSE CAREER YAKE ,...USHABIKI TU, POLE SANA MDAU.

    HARVARD UNIVERSITY BUSINESS SCHOOL,
    USA

    ReplyDelete
  3. Twa Kafu na Tielp hatupo kabisa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...