Mwenyekiti wa Simba SC Alhaj Ismail Aden Rage, kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi, anaongoza matokeo ya nafasi ya Ubunge katika kata zote 25 za Tabora mjini ambapo chama chake cha CCM pia kimezoa majimbo 24 kati ya hayo 25 wakati tukienda hewani. Idadi kamili ya kura alizopata inasubiriwa wakati wowote kuanzia sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...