BABA ATEKETEZA FAMILIA YAKE KWA SHOKA, MOSHI
Na Enos Masanja
Maafa makubwa yamekikumba kijiji cha Mamba Kokirie wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya mtu mmoja kumuua mama yake mzazi na watoto wake wawili kwa kuwakata na kuwachinja kwa panga.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea juzi usiku katika kijiji hicho likiacha vilio na simamanzi baada mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Meckimelan Mamkwe (45) aliamua kukatisha uhali wa familia yake.
Mashuhuda wa tukio hilo waliozungumza wamesema mtekelezaji wa mauaji hayo alifika nyumbani anakoishi na mama yake huyo aliyetajwa kwa jina la Christina Ronald (65) na kukuta akila chakula cha jioni akiwa na wajukuu zake wawili.
Ghafla alianza kumshambulia mama yake mzazi kwa kumtata na panga na baada ya kuona amefariki alianza kuwakatakata kwa panga watoto wake wawili waiotambuliwa kwa majina ya Emmanuel Meckimelan (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Kokirie na mdogo wake Ezekiel Meckimelan (8) anayesoma darasa la pili kwenye shule hiyo.
Baada ya kusababisha mauaji hayo, kijana huyo alilala ndani ya nyumba hiyo pamoja miili ya marehemu hao asijue nini cha kufanya hadi jana asubuhi ambapo ndugu na majirani walifika katika nyumba hiyo na kubaini mauaji hayo. Wananchi wenye hasira kali walianza kumshambulia kwa silaha mbalimbali Meckimelan na kumuua kwa kumchoma moto.
Miili ya marehemu hao wote wanne ilichukuliwa na polisi jana na kupelekwea Hospitali ya Kilema Marangu ambako hadi sasa imehifahdiwa ikisubiri uchunguzi kabla ya mazishi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro, Lucas Ng’hoboko,amethibitisha tukio hilo lakini hakuwa tayari kuelezea kwa undani zaidi kwa kile alichodai hakuwa na taarifa kamili za tukio hilo na ameahidi kutoa taarifa baadaye.
http://www.wavuti.com

Inasikitisha sana tena sana, bila shaka ana matatizo ya akili.
ReplyDeleteKwa upande mwengine ni juzi tu hapa watu walilamikia namna ya waandishi wa habari wanavyoharibu lugha na kusema yasiyoeleweka. Na hii hapa habari inaletwa na makosa tele ya lugha na matukio.
Ikiwa kuna mashuhuda na walimuona akifanya mauaji hayo, itakuwaje tena tunaambiwa kuwa baada ya kufanya mauaji hayo alilala ndani ya nyumba mpaka ndugu na majirani walipofika asubuhi yake na kubaini mauaji hayo?
Inaingia akilini hii kweli, watu wameshuhudia akifanya mauaji na hawakuripoti au kuita polisi hadi siku ya pili?
Kisha pia kichwa cha habari kinasema kaua kwa shoka halafu paragrafu ya kwanza tu tunaambiwa kawachinja kwa panga! Namna gani waandishi jamani?
KAKA ZA USUBUHI. NAOMBA NIPEPERUSHIE HILI TANGAZO LA AJALI ILIYO TOKEA MUDA SI MREFU;
ReplyDeleteADAM RAFAEL
WA KOROGWE
AMEPATA AJALI USIKU HUU. MAITI YAKE IMEPELEKWA MUHIMBILI. JINA NIMELIPATA TOKA KWENYE KITAMBULISHO KINACHOSEMA - SHULE YA WAZAZI KOROGWE - KOROGWE HIGH SCHOOL. KESI IPO POLICE CENTRAL
AJALI NI YA KIBAJAJI NA GARI - MWENZAKE (DEREVA WA BAJAJI) AMELAZWA MUHIMBILI
POLENI WAFIWA!
duuuu
ReplyDeleteHuenda huyo baba hana hatia maskini, familia yake wameuliwa na majambazi/wafitini na yeye kauliwa na 'wananchi wenye hasira'. kama alivyonena anon wa kwanza, hii story ina walakini!
ReplyDeletekaka yangu lakini habari zingine basi usiweke...I mean hizo comment s za watu wanaojifanya wao ndio waandishi wa habari...Hiyo comment ya watu wamefariki na ajali sio vizuri kuweka. Kam andio imetokea si ajabu hata ndugu za marehemu hawajapata habari halafu waje wasme humu kwenye blog...halafu majina mengine ya bongo yanafana sana. Utakuja wapa watu pressure ....watu wengine wanahitaji kuslow down habari wawaachie waandishi wa habari kama vipi basi waende shule wakasomee wafanye kazi hizo...
ReplyDelete