Home
Unlabelled
bosi wa LG amtembelea pinda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wadau mambo kama haya tunakuwaga kimya. Huyu jamaa Raisi wa LG = au "Life is Good" ya korea kusini ni mtu mkubwa sana duniani hata akienda US anazuka tu kwa Obama bila mizengwe. Kampuni ya LG imepanda chati sana na kuwatia hofu wa japani, na wamerekani kwa upande wa electronics. Pia quality yake ni sambamba. Kuja kwake TZ ni ishara nzuri kuwa sisi pia tumo kwenye nyanja za uwekezaji. Labda watafungua assembly line ya Air condition zao, au fridge au Flat screen? Na jinsi wizara zetu zilivyokuwa washamba?? mtu kama huyu akija ni vyema tupewe taarifa na wizara husika je kuja kwake huyu raisi wa LG ni kwa madhumuni gani?
ReplyDeleteWadua changieni basi masuala kama haya ya maendeleo....
Alex Bura, Dar
Nakubaliana nawe mdau Alex BURA LG ni kampuni kubwa sana duniani hata hapa marekani bidhaa zake zinakubalika ..halafu wamekeep standard ya dunia hata tv zinazokuja hapa USA voltage yake haina tofauti na ya nyumbani ..110 -225 hivyo ni rahisi kwetu kununua bidhaa hizo na kutuma nyumbani sababu electronics usa ni cheap kuliko nchi yoyte duniani
ReplyDeleteWadau mliotangulia hapo juu ..nakubalina nanyi kuwa utamaduni wetu wa kushabikia mambo ya siasa, michezo na majungu (Fulani kafanya hiki au kile)inabidi tubadilike. Siasa na michezo si mambo mabaya..lakini vitu hivyo visichukue muda wetu wote badala ya kuangalia na kuchunguza mambo mengine amabayo yanaweza kumletea maendeleo mtu mmoja mmoja au taifa lote kwa ujumla.
ReplyDeleteLG hawaishii kwenye TV na Air condition systems bali wanafanya mambo mengi sana kama vile kutengeneza Business Solutions hardwares na softwares,Security systems,Mobile phones, Home appliances and so on.
Kwa hiyo watanzania wangehoji hili kutaka kujua ujio huu ni wa nini kati ya hayo niliyotaja hapo juu. Lakini kwa bahati mbaya ndugu yetu Michuzi hakuweka kichwa cha habari chenye mvuto. Ni kama vile Mkuu Pinda anauza sura na Mkuu wa LG amekuja kutalii.
Kwangu mimi wadau kama hawa wangekutanishwa na watu wa Jiji, Jeshi, na hata watu wa wizara ya Mawasilianao,science na teknolojia, vyuo vikuu...hili kuona katika nyanja ya miradi ya ulinzi (micro radars, road security cameras na elimu)tunaweza kushirikiana vipi?