Mh. Mabere Nyaucho Marando


HABARI ZILIZOTUFIKIA PUNDE KUTOKA DODOMA ZINASEMA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KITAMSIMAMISHA MWANASIASA MKONGWE MH. MABERE NYAUCHO MARANDO KUGOMBEA NAFASI YA USPIKA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Mabere Marando anafaa, anaweza kusimamia upiganaji UFISADI na ajaua sheria kwa hiyo sio rahisi kuyumbishwa. Wale wangombea watatu kulee,huwezi linganisha na Marando. Wabunge tupeni mtu mwenye kuweza kusimamia haki.

    ReplyDelete
  2. Huyu ndio anae faaa na nichaguo BORA KULIKO WAKINA DADA WA ZAMANI WALIOCHAGULIWA. TUMUUNGE MKONO

    ReplyDelete
  3. Mama Makinda is the next Speaker. Full Stop! Chama CCM kimeshika hatamu!

    ReplyDelete
  4. Jamaa njaa tu huyu!

    ReplyDelete
  5. Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, shabaha kubwa ya mafisadi ni kumpa uspika mmoja wa wabunge wanawake ambaye naye wamemteka hivi karibuni, kwa kutumia kigezo cha usawa wa kijinsia na uzoefu, baada ya kumlipia deni la Sh1bilioni la kampuni yake.
    Vyanzo hivyo vilifafanua kwamba, asilimia kubwa walioingia katika kinyang'anyiro hicho ni watu walioshinikizwa na genge hilo la mafisadi, lakini watu wawili mmoja mwanaume na mwanamke ndiyo wanaandaliwa kuwa spika, endapo mmoja wao ataangushwa.
    Hata hivyo, wadadisi wa mambo ya kisiasa wanaangalia CCM kama chama kinachopita katika wakati mgumu kisiasa na kitendo chochote cha kumng'oa Sitta, kitazidi kuongeza hasira za umma na kutoa mwelekeo wa mwaka 2015.

    ReplyDelete
  6. CHONDECHONDE WABUNGE WA CHAMA TAWALA INUSUNI NCHI CHAGUENI MARANDO,MIMI MWENYEWE HAPA CCM KINDAKINDAKI ATA DAMU YANGU NJANO NA KIJANI,TUNAJUA FIKA MPIRA KAPASIWA KENGE(VIJSENTI) KAINGIA NAO KWENYE MIMAJI ESCAPE GOAT SAMWEL SITA JAMANI INUSURUNI NCHI ISIANGUKIE KWA WAOVU NNYEE MLIKWII?

    ReplyDelete
  7. Duh.. Huyu Marando amewasaidia sana CHADEMA. Walikuwa hawana mtu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
    hapo Zitto akiwa kiongozi wa upinzani bungeni mambo yatakuwa mswaano.

    ReplyDelete
  8. Anafaaa sana kama kweli watanzania wana nia ya kulitotoa Taifa letu katika umasikini.....

    ReplyDelete
  9. Huyu Spai tu hafai hata kidogo! Chadema tuwe makini

    ReplyDelete
  10. CHADEMA naona mwaka huu mmejipanga, hili nalo ni Jembe kama DAKTARI WA UKWELI DR.SLAA. Jamani waungeni mkono, mwaka huu ni wao!!! Hao akina ANNAs sijui kama watafua dafu, anyway ni mama zetu, uchakachuaji pia, Nguvu ya dola... nk. na nk. Let's wait n c. YOTE KHERI.

    ReplyDelete
  11. SIKU KUMI TU BAADA YA UCHAGUZI MKUU CCM WAMESAHAU KILICHOWAKUTA(MWAMKO WA WANANCHI WENYE KUTAKA MABADILIKO)SASA BADALA YA KUPENDEKEZA JINA LA KADA MWENYE MSIMAMO,MAHIRI,MCHAPAKAZI NA ASIYEPENDA UFISADI SASA WANAKUJA NA HOJA YA TUMWACHIE MAMA SAWA LKN SI KWA BUNGE LA 10.CCM WAMEZIDI KUPOTEA.SASA SHUHUDIENI MHE.MARANDO ANAKUA SPIKA WA BUNGE LA 10.NATANGULIZA PONGEZI KWA MHE.MARANDO

    ReplyDelete
  12. Adhabu za UCHAKACHUWAJI......Marando ushindwe mwenyewe.....bao la waaaaazi hilo....kama ni mpira GOLINI hakuna KIPA.....HONGERA SANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...