Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana kwa furaha na Mbunge wa Kawe, Mh. Halima Mdee, Bungeni Mjini Dodoma leo ambapo zoezi la kuapishwa wabunge wateule linaendelea
Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa
akiapa leo Bungeni Mjini Dodoma






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera sana dada Mary. Wewe ni mpiganaji wa kweli.

    Mdau sekta ya afya.

    ReplyDelete
  2. purple ........forget me not :)

    ReplyDelete
  3. Mikausho MikaliNovember 13, 2010

    Kwa sasa Pinda sio waziri mkuu.Uwaziri mkuu wake ulikoma ile siku bendera ya Rais ilivyoshushwa

    ReplyDelete
  4. hongera sana Mary,
    class mate wako

    ReplyDelete
  5. mie uyo dada halima mdee tu basi

    safi sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...