Mh. Peter Serukamba ameweza kutetea kiti chake
cha ubunge Kigoma mjini baada ya kushinda kwa kura kibao
Mh. Mustafa Mkullo ameweza kutetea kiti chake cha

Ubunge jimbo la Kilosa kwa kura nyingi

Mh. Vita Kawawa ameshinda kwa kishindo

kiti cha ubunge jimbo la Namtumbo

Mh Cyril Chami ndiye mbunge mteule Moshi vijijini
Mh. Amos Makala ana kila sababu ya kutabasamu
baada ya kuibuka kidedea jimbo la Mvomero




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...