Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Korogwe mjini Christina Midello amemtangaza Yussuph Abdallah Nassir wa CCM kuwa mbunge wa jimbo hilo baada ya kupata ushindi wa kura 12,090.
Nassir anafuatiwa kwa karibu na Kalistus Shekibaha wa CHADEMA aliyepata kura 1,722, huku Kumaa Kimweri Mgogo wa CUF akipata kura 400 na Tony Kamkanda Tony wa SAU akiambulia Kura 225.
Kwa upade wa Urais Jakaya Kikwete wa CCM alipata kura 10,761, huku Dk Wilbroad Slaa wa CHADEMA akipata kura 3,135 na Profesa Ibrahimu Lipumba wa CUF akipata kura 394.
Wengine ni Peter Kuga Mziray wa APPT Maendeleo aliyepata kura 110, Hashim Rungwe wa NCCR Mageuzi kura 19, Mutamwegwa Mugahywa wa TLP kura 5 na Fahim Dovutwa wa UPDP Kura 6.
Source: www.wavuti.com

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...