ameshinda uchaguzi Jimbo la Hai na kurejea bungeni tena
kama mbunge baada ya kuwa nje kwa miaka mitano
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa ndio wenye kupenda uongozi si upumzike tu mrema.
ReplyDeleteSafi sana hawa jamaa wawili kurudi bungeni yaani italeta hamasa ya upinzani wa kweli bungeni na bunge litakua na meno hasa Big up mrema na mbowe sasa mlichangamshe bunge kwa utetezi wa haki
ReplyDeleteMdau wajina Madagasca
Source: BBCswahili Ustream, www.mwananchi.co.tz, wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi, majimbo yaliyotwaliwa na vyama vya upinzani mpaka sasa ni :
ReplyDelete1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
13.Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA
14.Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA
15.Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA
16.Vunjo - Augustino Lyatonga - CHADEMA
we anonymous 12:10 mrema sio wa CHADEMA hebu sahihisha
ReplyDeleteYaani watu wa HAI nawakubali wameyeyushwa na barabara 5yr na Fuya sasa wakasema okayyyyyy natuone sasa!huyo wamepa Free...kweli wamachame soooooo!
ReplyDeleteHaya mzee wa kiraracha - kakoroge mambo bungeni kwani hujulikani kama wewe ni mpinzani au CCM "B"
ReplyDeleteupinzani sio kukosoa hata kilicho kizuri, tujenge utamaduni wa kuyakubali mema ya mbaya wako na kukosoa mabaya hata kama ya mwema wako. tusiwe critics kwa kila jambo kwani yana tushushia hadhi na tunashindwa kutofautisha msomi na mbumbumbu enapo wote wawili wana tabia hii.
ReplyDeleteKK
Magamba coast
Mrema akibebwa jamani huwa hacheki ...eh!
ReplyDeleteONGERA SISIEM KWA KUPATA JIMBO KUPITIA UPINZANI, MREMA OYEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteNibebe nibebe!!!!!!!!
ReplyDeletethis time Lyatonga atakuwa msemaji wa JK