Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo kwa ajili ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete ikiwa ni maandaliazi ya kuunda Serikali mpya ya awamu ya pili ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete ambapo kesho jina la Waziri Mkuu linatarajiwa kutajwa. Picha na Muhidin Sufiani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Yaa Muhammad, Assalaam Aleikum Mheshimiwa...Mzein...Tamaam...mashallah..Wallahi yaa Muhammad kule Unguja wmemsahau SAMIA SULUHU...Mkumbuke katika ufalme wako wa bara yaakhii..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...