Dk Emmanuel Nchimbi ametangazwa sasa hivi kuwa mshindi wa kiti cha ubunge Jimbo la Songea mjini baada ya kujizolea kura 27, 582 na kumpiku mgombea wa CHADEMA Bw. Mbogoro aliyepata kura 17,495

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera Dr Nchimbi. Licha ya kampeni ya chuki na matusi ya chadema, umewabwaga watukanaji bila huruma. Tushikamane kuiendeleza Songea yetu. Ngulumbalyo Mandai Mmatumbi (maji maji warrior).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...