Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, katika kikao cha siku moja cha kamati Maalum ya CCM. Kikao hicho kilifanyika katika ofisi Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui, Zanzibar. Kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ambaye pia ni Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume na kulia kwake ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, ndugu Shamsi Vuai Nahodha.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Namtakakia Dr. Shein kila laheri katika safari yake aliyo ianza Mwenyezi Mungu akamsaidie akaongoze vema....zanzibari Daima CCM Zaidi

    CCM CCM Aaaaaa Aaaaaa Chama Cha Mapinduzi CCM namba Mojaaa.

    ReplyDelete
  2. Hongera baba Allah akuongoze.
    CCM oyeeeeeeeeeeeeee CCM juuuuuuuuuuuuuuuuu CCM no 01 hata nchi jirani na dunia zajua hilo.

    Asiye penda oungozi wa CCM anyoshe kidole juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...