JK akiwa na Dream team yake baada ya kumwapisha Waziri mkuu leo Ikulu ndogo ya Chamwino, Dodoma. Toka shoto mbele ni Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Serikali ya Muungano Dk. Mohamed Ghalib Bilali, JK, Waziri Mkuu Mizengo Kayanda Peter Pinda, na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mh. Seif Shariff Hamad,
Toka shoto nyuma ni Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh Anne Makinda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Jaji Frederick Werema na Katibu Mkuu Kiongozi, Mh. Philemon Luhanjo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hapo mjanja Maalim tu.

    ReplyDelete
  2. Waungwana si vizuri kutabiri mauti ya mtu lakini ukimtazama Dr Bilali basi unaona huyu mtu tutaarishe sanda hana muda mrefu

    ReplyDelete
  3. Anon wa 18 06 52 00 pm umemuona Lyatonga Mrema lakini au unamsema tu Bilali wa watu. Bado hatuna uwezo wa kujua saa na wakati coz ni fumbo kubwa kwa mwanadamu.

    ReplyDelete
  4. Dr Bilali alikuwa mgombea mwenza wa JK; sasa Makamu wa Rais!

    Hivi aliyekuwa mgombea mwenza wa Dr Slaa ni nani? Elimu yake, je?

    ReplyDelete
  5. EBANAEE MALIM SEIF KUMBE AKITINGA SUTI BONGE LA GENTLEMAN,IMEKAA VIZURI KIKWETE AMBE KAZI NA LIPUMBA KISHA TUENDELEZE MUNGANO WETU WA CCM NA CUF CHADEMA WALIE.

    ReplyDelete
  6. Inasemekana kwamba kifungo cha mwisho cha suti huwa hakifungwi

    ReplyDelete
  7. issue ya Chadema kama mchezo wa kuigiza sijui ni utoto maana Mbowe kakimbia bungeni na mazezeta maana wasomi wa chadema hawakuingia bungeni ndo ujue hata chadema wanachakachuana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...