Toka shoto nyuma ni Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh Anne Makinda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Jaji Frederick Werema na Katibu Mkuu Kiongozi, Mh. Philemon Luhanjo.
Home
Unlabelled
THE DREAM TEAM 2010 - 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Hapo mjanja Maalim tu.
ReplyDeleteWaungwana si vizuri kutabiri mauti ya mtu lakini ukimtazama Dr Bilali basi unaona huyu mtu tutaarishe sanda hana muda mrefu
ReplyDeleteAnon wa 18 06 52 00 pm umemuona Lyatonga Mrema lakini au unamsema tu Bilali wa watu. Bado hatuna uwezo wa kujua saa na wakati coz ni fumbo kubwa kwa mwanadamu.
ReplyDeleteDr Bilali alikuwa mgombea mwenza wa JK; sasa Makamu wa Rais!
ReplyDeleteHivi aliyekuwa mgombea mwenza wa Dr Slaa ni nani? Elimu yake, je?
EBANAEE MALIM SEIF KUMBE AKITINGA SUTI BONGE LA GENTLEMAN,IMEKAA VIZURI KIKWETE AMBE KAZI NA LIPUMBA KISHA TUENDELEZE MUNGANO WETU WA CCM NA CUF CHADEMA WALIE.
ReplyDeleteInasemekana kwamba kifungo cha mwisho cha suti huwa hakifungwi
ReplyDeleteissue ya Chadema kama mchezo wa kuigiza sijui ni utoto maana Mbowe kakimbia bungeni na mazezeta maana wasomi wa chadema hawakuingia bungeni ndo ujue hata chadema wanachakachuana
ReplyDelete