Sisi ni vijana tuliojiajiri tuna kampuni yetu inaitwa M &K Brothers Production kwa sasa tuna DVD ya mahafali ya Chuo kikuu(DUCE) yaliyofanyika tarehe 13/11/2010 iko kwenye ubora wa hali ya juu sana na kila tukio muhimu linaonekana na kila mhitimu wakati anapewa cheti anaonekana. Ni nzuri sana kwa kumbukumbu zao.
Tunapatikana Tabata Segerea
no zetu ni
0653 588281 na 0717 909659
DVD hiyo inauzwa Sh15000 tu
Wadau wa mikoani tunaweza kuwatumia.
Asante sana ndugu
kwa wabongo, atanunua mmoja wengine wata copy.
ReplyDeletehakikisheni hazicopic-mtaliwa.
Wajasiriamali fuateni ushauri wa anonym. wa 15/11/2010 01.57 PM nduguzanguni. hii ni bongo bwana, wanamuziki wanalia.
ReplyDelete