Home
Unlabelled
FRANKOO COLLECTIONS KATIKA SWAHILI FASHION WEEK ZASIFIWA SANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ooooh picha ya chini imenivutia naomba mawasiliano na anti nami niweke order
ReplyDeleteJamani wewe Franchesca nitakupataje...umewakaaaa...jamani huyo mtoto ana mguu...sasa jamani tubadili mambo ya kuweka watoto wembaba peke yao ni upendeleo na inatuangusha sisi tunaopenda akina dada waliojaza kama huyo....huyo ni model wa kweli kweli...!!
ReplyDeleteWomen outwears get shorter and shorter.Show watcha got. Me love it.
ReplyDeleteSalaam Ankal,
ReplyDeleteHivi hii swahili fashion ni ya mavazi ya kiswahili au jina tu? kama ni jina tu basi sawa lakini kama ni mavazi ya kiswahili HAPA IMEKULA KWETU !!!
Ooooooooooooooooooh! the below dada is hooot!!! chiiiiiiiiiz
ReplyDeletewewe dada franchesca, natamani ungekuwa wangu, maana yake una umbile la kikwetu linamaanisha urembo wa kikwetu.
ReplyDeleteHivi ni kwanini urembo pia lazima uwe wa kimagharibi?
anony wa november 10; at 11:48:00PM
nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja, inabidi sasa na sisi tunaopenda uzuri wa kikwetu tuletewe mashindano yetu ili tuburudike na madada wenye urembo wa kikwetu.
That chick on the pink can model on my "five footlong show" anytime of the day.
ReplyDeleteloh unaweza msaka kwa facebook au kwa blog yake anaitwa francisca shirima ni designer wa muda mrefu sana.
ReplyDeletejamani, ndio maana tunarudi nyuma kimaendeleo... nani kasema uafrika ni nguo fupi au ndefu...
ReplyDeletenapenda sana designs za huyu dada, ni nzuri sana kupita kiasi, huwa anaonekana kwa wakati tu na kupotelea...
ReplyDeleteWe mdau wa 4:17 pm nov 11, pink iko wapi hapo au unapofuka taratibu? Anyway, Ze Francescaz is vere vere hot. Aaah hata hili boxi nitaliabandon nirudi bongo jameni!! mtoto wa wapi huyu ana guu namna hii mtumeee!! Seremala atauza nyundo!! Very nice baby keep it up!!
ReplyDelete