modo katika Frankoo collections,
zilizobuniwa na Francesca Francis
simpo lakini makini. Frankoo collection ingine iliyotia fora

baluni la Frankoo collections
mamodo wakipita na Frankoo collections
Francesca Francis mwenyewe akijitambulisha na kushangiliwa wakati wa Swahili Fashion week 2010 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar. Frankoo collections iliwashangaza wengi na habari zinasema tayari oda kibao zimeshawekwa toka sehemu mbalimbali





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. ooooh picha ya chini imenivutia naomba mawasiliano na anti nami niweke order

    ReplyDelete
  2. Jamani wewe Franchesca nitakupataje...umewakaaaa...jamani huyo mtoto ana mguu...sasa jamani tubadili mambo ya kuweka watoto wembaba peke yao ni upendeleo na inatuangusha sisi tunaopenda akina dada waliojaza kama huyo....huyo ni model wa kweli kweli...!!

    ReplyDelete
  3. Women outwears get shorter and shorter.Show watcha got. Me love it.

    ReplyDelete
  4. Salaam Ankal,

    Hivi hii swahili fashion ni ya mavazi ya kiswahili au jina tu? kama ni jina tu basi sawa lakini kama ni mavazi ya kiswahili HAPA IMEKULA KWETU !!!

    ReplyDelete
  5. Ooooooooooooooooooh! the below dada is hooot!!! chiiiiiiiiiz

    ReplyDelete
  6. wewe dada franchesca, natamani ungekuwa wangu, maana yake una umbile la kikwetu linamaanisha urembo wa kikwetu.

    Hivi ni kwanini urembo pia lazima uwe wa kimagharibi?

    anony wa november 10; at 11:48:00PM

    nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja, inabidi sasa na sisi tunaopenda uzuri wa kikwetu tuletewe mashindano yetu ili tuburudike na madada wenye urembo wa kikwetu.

    ReplyDelete
  7. That chick on the pink can model on my "five footlong show" anytime of the day.

    ReplyDelete
  8. loh unaweza msaka kwa facebook au kwa blog yake anaitwa francisca shirima ni designer wa muda mrefu sana.

    ReplyDelete
  9. jamani, ndio maana tunarudi nyuma kimaendeleo... nani kasema uafrika ni nguo fupi au ndefu...

    ReplyDelete
  10. napenda sana designs za huyu dada, ni nzuri sana kupita kiasi, huwa anaonekana kwa wakati tu na kupotelea...

    ReplyDelete
  11. We mdau wa 4:17 pm nov 11, pink iko wapi hapo au unapofuka taratibu? Anyway, Ze Francescaz is vere vere hot. Aaah hata hili boxi nitaliabandon nirudi bongo jameni!! mtoto wa wapi huyu ana guu namna hii mtumeee!! Seremala atauza nyundo!! Very nice baby keep it up!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...