Home
Unlabelled
JK afanya kikao cha kwanza na Baraza lake jipya la Mawaziri leo Ikulu jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mkafanye kazi kweli kwelimuzembe wa baadhi ya wafanyakazi wa juu ktk mawizara,urasimu ukomeshwe kama alivyosema JK Hasa mahospitaalini,umeme,barabara,vyuoni,mahakamani,barabarani kuna nuka rushwa kila mmoja anajua yupo wapi
ReplyDeletekwamtindo huu wa kuandikia mapajani hata kwa mawaziri,basi hata watoto wetu hawatopata madawati wala maabara mashulen.mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,wahenga walinena
ReplyDeleteMichu tuaomba utuwekee hints na picha za kikao cha Jumapili ya jana kati ya Waziri Magufului na wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Kitu cha kwanza muhimu na dharura kushughulikiwa na hilo baraza jipya ni kurudisha umeme.
ReplyDeleteBila umeme wa uhakika Tanzania itabakia nchi maskini.
Nahisi waafrika tuna ka ucomplication fulani ambako ni ka laana ka asili. hapo mbwembwe kibao ingia kazini sasa bure.kwani magufuli anawezaje?????tunahitaji mdelive na si vinginevyo.natamani kuiona tanzania ikiwa mtumishi anamnyenyekea mwananchi kama walioendelea.kikwete ni mchapa kazi ila timu du.
ReplyDeleteYaap, mawaziri wako makini. Nimefurahishwa na walivyo makini kuchukua notes. Safi sana.
ReplyDelete