Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wahitimu na wakufunzi wakati wa mahafali ya kwanza ya Chuo Kikuu Cha Dodoma iliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma leo.Katika mahafali hayo Rais Kikwete na Hayati Mzee Rashid Mfaume Kawawa walitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari(Doctor Honoris Causa). picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Honoris causa kwa Kawawa na JK? Yale yale? Tukisema, ooo, udini!

    ReplyDelete
  2. we jamaa kwa hiyo asipopewa kawawa na JK ndo inakuwa kawaida(yaani si udini)?

    Mbona alyewapa ni Mkapa?

    Hivi hizi hisia za udini zitawatoka lini, tangu mkoloni?

    ReplyDelete
  3. wewe ndio mdini kwani siku hizi nyie wenzetu mnaroho mbaya sana tangu mujue silaa amewdanganya sana kwani haya mambo hayakuepo siku zote kinachuwauma ni kwamba na waisilam nao wanawapeleka watoto chule utakufa na chuki zako

    ReplyDelete
  4. Ni kipi kinachokufanya ushangae viongozi hawa kupewa digrii ya heshima? Au hujui mchango wao katika nchi hii? Kama ni mdogo kiumri au Hukubahatika kuifahamu historia ya nchi yako, basi jaribu kuwauliza wakubwa zako au watu wanaoifahamu. Kama ufahamu wako upo sawasawa basi ni lazima utafahamu mchango wa Mzee Kawawa katika Uhuru na Maendeleo ya Nchi hii. Au wewe ndo kati ya wale wanaotaka watu waamini kuwa ni Nyerere pekee aliyefanya mema Tanzania!!! Na ni Rais Kikwete ndiye aliyekianzisha chuo cha Dodoma, achilia mbali alishawahi kuwa Waziri kwa zaidi ya miaka 17 na kulitumikia jeshi letu la ulinzi.

    ReplyDelete
  5. we achazako ungekuwa udini basi hicho chuo kıngekuwa cha waıslam cauz waıslam ndıo walıotoa pesa za kujenga hıcho chuo naleo kınatumıka kwa watz wote pesa kutoka uarabuni hizo,tazameni nyinyi kıla pesa zikija mnafungua chuo cha kanısa..JK UNASTAAHILI..NA ASILIMIA 70 YA WANAFUNZI HAPO NI NYIYI..NAOMBA MICHUZI USIBANE POSTİ

    ReplyDelete
  6. Kweli, hela za magharibi hujengea vyuo vya kanisa.

    Hela za waarabu, vyuo vya serikali.

    ReplyDelete
  7. najua ndugu zetu wakiristo wengi sio wadini,sema kuna wachache wenye mawazo ya mtikila,sasa kwa ufupi ni kuwa waislam wataendelea kuwepo tu,mpende msipende,cia fact zinasema waislam ni wengi kuliko wakiristo,lakini tulikubali kuongoza na njerere na kumpa heshima yote,nyie pia muige mfano,waislam everywere,angalie hiyo chadema yenyewe wabunge waloingia bungeni utaona waislam pia wako na wanaushawishi mkubwa.so acha udini tujenge nchi.waafrica bwana

    ReplyDelete
  8. Kwa maoni yangu na uelewa wangu ni kwamba, watu wengi hapa hawanachuki wala roho mbaya au wivu la hasha, ila tu ingetolewa na chuo kikuu cha mlimani dar hakuna shaka kwa vile pale kuna fakati ya phd na wana mlolongo wa wanafunzi waliohitimu katika kiwango hicho.
    Chuo chenye kutoa kiwango cha elimu ya PHD ndicho chenye nafasi ya kutoa PHD za heshima kwa vile wana wahitimu wa fani hiyo na fakati ya level hiyo.
    Swali la Chuo cha dodoma kipo katika kiwango cha undergraduate, maana yake kinatoa elimu kiwango cha bachela, wanawezaje kutoa kiwango cha graduate wakati bado hawajafikiwa kiwango hicho? Ni fakati gani ilijadili vigezo vya kutoa hiyo wakati bado ni undergraduate college?

    Wangesubiri wafikie kiwango hicho ndipo watoe kwani kwa sasa inachekesha kidogo kwa wanaojua maana ya shahada na viwango vya vyuo vinavyotoa shahada hizo.
    May be we are trying to tanzanize our new philosophy.

    ReplyDelete
  9. wapumbavu na wajinga wote nyie mliotoa comments juu yangu,Tz yetu haina dini,wala rangi wala kabila...sie wote ni watanzania na tena bila kujali bara wala visiwani..pumbavu zenu.usiku mwema.
    Abu Jihad-UK

    ReplyDelete
  10. Kinachomuuma huyo mdini ni kwamba hizi digirii JK kazipata nyingi kuliko aliyemtaka yeye.

    ReplyDelete
  11. Annoy wa Sat Nov 27, 10:27:00 PM, kwa taarifa yako UDOM ina wanafunzi kuanzia Certificate level mpaka PhD level, usikurupuke bila kuwa na facts.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...