JK akiwasalimu baadhi ya watoto waliokuja kumlaki katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo asubuhi.Rais Kikwete anatarajiwa kuongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma.
JK akisalimiana na baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma waliojitokeza na kumpa mapokezi ya furaha katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo 

OOOOooooh hivyo viduchu mashallah! watoto wazuri mashallah wamefurahi na Raisi.
ReplyDelete