Kibao cha makao makuu mapya ya
benki ya TIB aliyozindua JK leo
JK akipeana mikono na Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndullu wakati alipowasili kufungua makao makuu ya TIB pamoja na tawi la benki hiyo Mlimani City jijini Dar leo. Wengine toka shoto ni Mkurugenzi Mkuu Bw. Peter Noni na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Profesa William Lyakurwa.
JK akisalimiana na maofisa wa TIB
Maofisa waandamizi wa TIB wakimpokea JK
Mwenyekiti wa kwanza wa bodi ya wakurugenzi wa TIB,
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Cleopa Msuya akimlaki JK
JK na viongozi wa TIB wakitoka makao
makuu ya TIB baada ya kuyazindua
JK akitoka tawi la TIB la Mlimani City baada ya kulizindua
Mkurugenzi Mtendaji wa TIB Bw. Peter Noni akisoma risala yake
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa TIB Profesa
William Lyakurwa akisoma risala

JK akipokea zawadi toka kwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa TIB
JK akimpa zawadi Bw. Ibrahim Kaduma, mmoja wa wakurugenzi waanzilishi wa TIB. kulia ni Waziri Mkuu mstaafu Mh. Cleopa Msuya
JK katika picha ya pamoja na Bodi ya wakurugenzi wa TIB. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha Mh
JK katika picha na Wakurugenzi na menejimenti ya TIB
JK akiwa na wakuu wa TIB pamoja na wafanyakazi
JK na viongozi wa TIB na wafanyakazi
Tovuti ya TIB

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NIVIZURI KUFUNGUA BENKI HAKIKISHENI WANAINCHI WANANUFAIKA..

    ReplyDelete
  2. big up to profesa Lyakurwa...alikuwa amepotelea huko Nairobi kabisa....these are key people can take the country extra mile in development agenda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...