Mambo Ankal Michuzi,
Kaka tunaomba msaada wako wa kutupachikia taarifa hii katika Blog ya Jamii ili wadau waweze fahamu kinachoendelea katika klabu yetu ya Kibangu Veteran Sports,ambapo sasa na sisi tumeanzisha libeneke (Blog) letu ili kuweza kuweza kuwafikia wadau mbali mbali wa soka.
Blog yetu inawenda kwa link hiyo hapo chini.
http://kibanguveteran.blogspot.com/

Safi sana wadau wa kibangu. Mmeonyesha mfano mzuri wa kuigwa hususani katika kuendeleza michezo.
ReplyDeleteBe blessed