Kiota hiki kinaitwa Star Coco Club kilichopo katika mgahawa wa Coco Beach Oysterbay jijini Dar. Mkurugenzi Mkuu wa kiota hicho Bw. Alphonce Buhatwa anasema wadau wameitikia mwito kwa kufurika hapo kila siku kwa maraha yasiyo kelele wala mikwaruzo. Kwa habari zaidi piga:
+255 784 282 658
sehemu ya libeneke na vilaji
ni sehemu tulivu na ya kuvutia
kipupwe na muziki pamoja na disco lights za kisasa..




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kinafunguliwa siku gani na siku gani? na saa ngapi mpaka ngapi?

    Na vipi kuna VYUMBA hapo?

    ReplyDelete
  2. KIPUPWE CHA KISASA?? ??? ?? NDO KIKOJE? SUNAMI NINI.

    ReplyDelete
  3. Ni kijiwe kizuri nimeshawahi kufika. Tatizo moja ni DJ anapiga muziki kwa kelele sana ilhali kachumba ni kadogo na hakuna material ya kufyonza sauti ukutani.

    Ndugu meneja mwambie DJ wako apunguze sauti maana ukuta wenu hauna sound absorbers kwa hiyo mwangwi (echo) inaumiza sana masikio na kichwa.

    ReplyDelete
  4. kipupwe:autumn:baridi:A/c?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...