Kitambulisho kimeokotwa

kwa mawasiliano mcheki ndugu kasuga kwa namba
0714440466

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kakitupa mwenyewe huyo baada ya kuona kishamaliza mda wake.....achana nacho hicho huwezi kukitumia kwa lolote

    ReplyDelete
  2. exposure of identity, no identity theft in dar?

    ReplyDelete
  3. kakidondosha makusudi hiyo, kaona kishaexpire

    ReplyDelete
  4. Watu wengine mkoje,hata km kime expire ndo akitupe?mnajuaje labda aliibiwa vitu wakatupa?
    Hongera kwa aliyemtunzia maana km angekuwa ameibiwa ,huyo mwizi angekitupa au ingekuwa ni issue ya ukweli then majambazi/vibaka na wauaji wangekipata na kukiangusha eneo la tukio ndo MNGEJUA KM KIME EXPIRE AU LAH,lazima mtu ahusishwe hata km kimeisha muda.Vijana wa kova hawana utani jamani.

    ReplyDelete
  5. we huoni kishaisha muda??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...