SPORAH NJAU WINS THE BEST TV PRESENTER
OF THE YEAR ON BEFFTA AWARDS 2010!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Congratulations! Go girl, keep up the good job and the Almighty God will always bless the work of your hand! Am very proud of you!

    ReplyDelete
  2. mmmhh, watu kwa kujidai...congrats girl. You know me.

    ReplyDelete
  3. congratulations baby girl. you deserve it. i have seen your show and you are so grrrrreat.

    ReplyDelete
  4. Sporah, jamani am sooooooooooooooo happy for you my love! you really deserve it sweet.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Sporah, kwakweli huu nu mfano mkubwa na kwa vijana, Ningeomba tu uje huku nyumbani uwashtue vijana wetu hasa wa shule za msingi, maana matatizo yanaanzia huko primary school.
    Kwakweli nakupongeza sana Dada.

    ReplyDelete
  6. Bwana Ankal, naomba hii picha ya huyu dada uiweke hapo juuuuu kabisa kwa siku chache tu, sina nia mbaya, ila itawasaidia mabinti wetu waamke, hasa wale walioko ughaibuni wanaoamini ukitoka nchi kama zakwetu basi wewe unatakiwa tu ukabebe mabox au ukawalee vibibi vya wenzako. Yani Ankal huyu dada ni mfano mzuri sana kwa vijana. Hongera sana Dada kwakutuwakilisha. Mungu akuzidishie.

    ReplyDelete
  7. Naomba tu ukafanye hii show bongo dada hata kwa mwezi mmoja tu. Yaani kama juzi nimesoma story ya
    Super sexy ladies wa Bongo Movies, Rose Ndauka na Mayasa Mrisho ‘Maya’ wanadaiwa kuwa malimbukeni baada ya kutia aibu ya mwaka huku wakihusishwa na skendo ya usagaji,,
    Jamani dada Sporah ungeku nyumbani ungewahoji hawa kina dada ili waiambie jaami maana ya hiki kitendo ni nini? kwasababu ukweli ni kwamba hawa mastar wa kibongo kila kitu cha kwenye magazeti wanakisema ni uzushi, hivo kukiwa na Talk show nzuri kama hii hapa Bongo iwakaribishe hawa Mastar wenye hizi Skando za aibu ili watoto wadogo wajifunze. Yaani its like hawa kinadada wametolewa mshipa wa aibu. MJUMBE HAUWAWI ANKAL
    Hongera sana dada Sporah kwakupeperusha bendera ya TZ.

    ReplyDelete
  8. Kaka sasa hapa uchokozi, huyu dada jamani ntampata vipi? Walah ananiumiza. Face book yake imejaa mpaka inamwagika, nimekua kwenye Waiting list for so long, Sasa Ankal, nisaidie bwana, I like this girl sooo much.
    Hata sitaki boyfriend and girlfriend MMh NNOO, Mi nimeshafanya uchunguzi wa kutosha huyu dada ananifaa mimi. Ankal Musoma. muspla180@yahoo.com
    Sporah popote ulipo naomba tu nitumie hata email, labda nitatulia.
    I love you, I really do.
    Hongera sana Dada na tunzo hili, Mungu akuzidishie nguvu ili mwakani uweze kuchua award mbili.

    ReplyDelete
  9. Naomba kujuzwa muda na siku ya kipindi chake star TV.

    ReplyDelete
  10. Shoo yake Ni ijumaa saa 12jioni na jumamosi saa Saba mchana. Aisee mi Ni fan mkubwa wa huyu dada na anakubalika international, sioni sababu ya huyu dads kutokua THE NEXT OPRAH Winfrey wa AFRICA. She has all the package. Sporah mamaa, YOUR SOO A TV PRESENTER, I love your show and I don't miss kukuangalia STAR TV kila week.
    Your big fan Jacob-Mbezi Beach.

    ReplyDelete
  11. Hongera mrembo.

    ReplyDelete
  12. Hongera sana Dada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...