KUMBUKUMBU

MAREHEMU NYOTA MUHIDDIN KIMARIO

Siku kama hii ya leo tarehe 19 Novemba 1994 ambayo ni miaka 16 iliyopita, mpendwa wetu Nyota ulitutoka na kutuachia majonzi makubwa. Kwa kawaida miaka 16 inaonekana ni mingi lakini kwetu familia ya Maj. General Muhiddin Kimario (Rtd) ni kama jana.

Baba yako Maj. General Muhiddin Kimario (Rtd), dada yako Fatuma, wadogo zako Neema, Kashenge, Abdul, Mfaume, Zubeda, Abuu, Rukia, Nasra, Shamim,Aisha na Rahma. Wanao Cossy na Nyota (Star), bila kusahau familia nzima ya Kimario (Moshi Mjini) tunasema tutakukumbuka daima na mapenzi yetu kwako yapo palepale.

Innalillah Wainalillah Rajuina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Mwenyezi mungu akujaalie akusamehe makosa yako na akuweke kwenye pepo ya firdaus amin, poleni sana wafiwa katika kipindi hichi kigumu sana cha kumkumbuka mpendwa wenu, mwenyezi mungu awape nguvu na tuzidi kumuombea dua marehemu
    wenu mguswa wa msiba huu mzito Masoud

    ReplyDelete
  2. Mwenyenzi Mungu akulaze mahali pema pepeoni. Mimi pia nakukumbuka dada yangu!!! Mwenyezi Mungu azidi kukupa neema zote za peponi.

    ReplyDelete
  3. Rest in peace my dear sist i still remember those old gud times we had together i real miss u

    ReplyDelete
  4. Rest in peace my dear sis i real miss U i remember those gud old days we use to have

    ReplyDelete
  5. Hooo!!jamani kumbe nyota alishafariki??mungu ailaze mahala pema peponi..poleni wafiwa mie sikujua..poleni sana

    ReplyDelete
  6. Hamim, Ruvu JKT 85/86November 19, 2010

    R.I.P Nyota, Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
    Poleni familia ya Kimario popote pale mlipo, hiyo ni njia yetu sote. Tumuombee Dua kila tunapomkumbuka.

    ReplyDelete
  7. My deep condolences to the whole family
    Those that love beyond this world can not be separated

    Ibrahim Manthy

    ReplyDelete
  8. Dada Nyota nakumiss sana, I know you are smiling in Heaven. It seems like yesterday but I know we'll see each other again. RIP Dada Nyota, Mwenyezi Mungu akuweke Mahali Pema Peponi Daima pamoja na Mama Yetu Aunt. Sharifa

    Baraka

    ReplyDelete
  9. Poleni sana Familia yote ya Muhhidin Kimario.Kimwili haupo nasi lakini kiroho tupo pamoja.Tunakukumbuka kipenzi wetu.Mungu ailaze pema roho ya mpendwa wetu.David.K

    ReplyDelete
  10. Rest in Peace my friend,i use to remember all gud days we are together at Kilimanjaro Pr.school.Naikumbuka sana ile siku tuliyokimbizwa na mbwa pale international school tukiokota maembe.Oh my God ! Your in my prayers Nyota.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...