Hayati Felista Mtao, enzi za uhai wake
Ni miaka mitano sasa tangu ututoke rafiki yetu kipenzi,
ndugu na mama yetu mpendwa.
Ukarimu na ujasiri wako tutaukumbuka daima.
Ukarimu na ujasiri wako tutaukumbuka daima.
Enyi marafiki, ndugu na jamaa popote mlipo,
nawaomba sara zenu mumuombee mama yangu Felista Mtao
akae mahali pema peponi huko aliko - Amina!
nawaomba sara zenu mumuombee mama yangu Felista Mtao
akae mahali pema peponi huko aliko - Amina!
Frank Mtao
Namkumbuka sana mama yetu hasa pale aliponisaidia mtoto wangu alipozaliwa,mungu amlaze mahali pema peponi, Amina-Faraji Baba
ReplyDeletenamkumbuka sana na hasa jinsi ulivyokuwa unampenda sana mama mtao. daima tuendelee kumwombea. frank unatumia namba gani na uko wapi? australia au dar. naomba namba yako ya dar ya cm fadhali.
ReplyDeleteNaomba Mungu aiweke roho yako pema peponi Mama. Ameen.
ReplyDeletenamkumbuka mama kweli mlimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi, tupo pamoja frank, gloria
ReplyDeleteRiP Bi Mkubwa...mwanga wa milele uangaziwe.
ReplyDeleteNamkumbuka Sana mama yetu, tangu miaka ya 88 na 89 wakati tukiwa tunakaa karibu kule Musoma maeneo ya Nyasho. Frank pole sana, ni kazi ya Mungu. MARERO STEPHEN
ReplyDeletePole sana kaka Mtao, yote mapenzi ya Mungu. Tulimpenda sana mama lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi. Tuzidi kumuombea apumzike kwa Amani
ReplyDeleteCHIFUNGO-IRINGA TZ.